Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Yaani kuna watu wana mambo ya chinichini hatariii km yule mtangazaji mwenye jina la vazi la kike aliyewaacha wake zake ujue ana danga lake huko mbele ss haijulikani km ni bisexual au mchicha mwiba
🙄🙄 Hivi si ana wake wawili, kwahiyo akiwa bongo mme wa watu, akiwa mbelezzz mke wa watu?!!!! Chinekeeee
 
Sio matajiri tu hadi lidas aiseee hebu mdomo koma kwanza tusijechomoa betri humu tukasombwa na kimbunga jobo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…