Kwani yule jamaa anauza nini? Au nyeupeYule mtu mzima aloolewa uzeeni mwenye hips kama sinia za mandi juliana, bwana ake ndo danga la Tessy ?
Sent using Jamii Forums mobile app
La kike, lina jina la ua jekunduWake alishapiga chini wote nje sijajua km anakua mme bado au mkeee
Zinahitajika uwe umefuzu fuzu kwenye umbea 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Code zenyewe ngumu sehemu nyungu unapita tu kuuliza uliza mpaka unaonekana form six 0 ,[emoji13]
Juu ni saa sita hujastuka tu?
Wakati mwingine unauliza ulikua wapi mbona kama ulichekewa kuishi....[emoji1]Ndio siunajua unajojoa pazuri huku una benefit na favor za kupiga ma deal ya hela
Aiseee....[emoji91]Maperamihogo yupo, pia tochara na yule msanii ndo alikuwa kipoozeo cha mwishoni mwishoni
Ndio hana usistimu wala niniUkute wote ni wafua umeme! Kwa hiyo, vikiungana ni full kutema cheche! Kuna Mshikaji wangu yuko karibu na ile familia,alishawahi niambia,hua hakanyonyeshi kakizaa!
Yaani huu mji minyenyere imejaa kibaooHa ha ha ha! Kumbe
Kama wanavyosema mwenye festival zake nae naniiiii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa kwani kuna ubayaaaMalaya watupu wa sinza na kino ndio mmmejazana humu mnajadili maisha ya watu
Seremaaa huu Uzi ni unakimbia kiwaki waki...mi mwenyewe hapa nina kazi sijui nimeishia wapiNikirudi ipo page 200[emoji16][emoji16], witty falah sana hivi kwanini hajaniita..... witnessj uliona ukiniita kuserema ntafaidi [emoji57]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]acha tu na hivi wambea tushaua michezo yao wallahi amuache tu kaahh!Shida show off angrkula kimya kimya angebadilika nini, huyu soon anaachiwa manyoya,
Dah ila kwa tozo umenikumbusha machungu
Omba 16 box ufungue code😅Shingo jirafu ni nan uyu? Au teacher wa Tanga yule
GenStar- Sugar cane - Gamma rays@cariha nilegezee kidogo hapo kwa peramiho shooo
Yes hii dunia mahusiano mengine yapo kimkamati sanaWakati mwingine unauliza ulikua wapi mbona kama ulichekewa kuishi....[emoji1]
Waziri aliacha 1 unusu fastaHiyo kweli mkuu.Waziri mmoja alijisemeaga akaachia M1.5. na Simu kubwakubwa kufinyiwa
Mzee wa Token za umeme kumbe nae si haba ni mtu wa washeli.Mzee wa ardhi nasikia anajibutulia Sana pale
Asipoelewa tena hii code bas atakua sio mbea huyoGenStar- Sugar cane - Gamma rays
Hii code ya malaika inahitaji namba 8 box kuitekenyua😅 nimetoka kapaHahaaa eti vichwa 7 ni first eleven bado nyingine, hafu kipindi cha mwishoni jabali alikuwa anajipooza kwa malaika wa utamu wa nanasi after miss DC kuzingua na katibu kata,
Show off zitamponza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]acha tu na hivi wambea tushaua michezo yao wallahi amuache tu kaahh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nchi yetu Wana eagle wanafananyishwa na vitu vya ajabu kwerikweriMwana igo analiwa sehemu ya kukalia..[emoji16]
Wanazengo wazee wa toolbox ukawilii kupigwa spana kilioni😅😅😂Alikuwa analia moyoni siunajua mipango kando lazima ulie chemba Wana zengo wasikuone