Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Nililala mapemaa kabisaaa...Jana
Kumbe hakanyonyeshi weeee
Ukute wote ni wafua umeme! Kwa hiyo, vikiungana ni full kutema cheche! Kuna Mshikaji wangu yuko karibu na ile familia,alishawahi niambia,hua hakanyonyeshi kakizaa!
Ndio hana usistimu wala nini
Ha ha ha ha! Kumbe
Yaani huu mji minyenyere imejaa kibaoo
Kama wanavyosema mwenye festival zake nae naniiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa eti vichwa 7 ni first eleven bado nyingine, hafu kipindi cha mwishoni jabali alikuwa anajipooza kwa malaika wa utamu wa nanasi after miss DC kuzingua na katibu kata,
Hii code ya malaika inahitaji namba 8 box kuitekenyua😅 nimetoka kapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom