Hahahah ila mpare anamvuto kama yai la kisasa bana sio ile furu minjiks (Era-lighting mke spit out)Ss hv mpare angekua mrs fulani, mana hd kwny msiba alipewa kipaumbele sn km mke vile, dah sema ndo hivo kifo kimeharibu mambo.
K najua mda sanaa!alikua anachukua mwananyamala akaacha,sasa Siku moja alisahau vidonge vyake ndo siri ilipofichukahusipite kwa kajala na huyo uwoya utaenda na maji
Dhuuuu uko jukwaa ganiNyieeee asubuhi yote mnapeana ubuyu twendeni kwenye nyuzi za Tanzia kwanza Controla kafiwa na mzazi twendeni mukampe pole[emoji51][emoji51][emoji51]
Nimeinyaka sikujua malaika ni jinaUle wimbo alioimbaga na chege chigunda huujui, unaimbwa hivi tukutaneee uswazi take awaaay[emoji445][emoji445][emoji445]
Watu hawaelewi tu dharau na majigambo si mazuri halafu huyo mr slow slow si kazaa na yule bongo movie aliyekuwa anataka ubungeBetina hakuamini Hilo Jambo lilitokea ghafla bin vuu na aliutafta ubunge kwa nguvu zote plus misaada mbona sikuhizi haitoa tena huko jimboni. Mr. Too atamnyoosha njia nyeupe.
Ila Mr. Slow slow enzi za jabali alikuwa untouchable juu ya kila kitu, yeye ni yeye ni alfa na omega hadi kuita V8 vieti sikuhizi kawa mdogo ka piritoni anapinga tu chanjo hajui anajichimbia kaburi lake mwenyewe. Jamani tuheshimu watu sponsa hufariki
Kuna mwenzetu naye wa Jf katutoka leo ni Tanzia tu jukwaa la Tanzia mpendwa😬Dhuuuu uko jukwaa gani
Hamna mmbongo hapendi haya maswala sababu ni relaxing! Wapo watu wana view kimya kimya ila hawatii nenoMnooo!watu wanapenda sana ubuyu yaani viwaz wengi means wanaitana tuu!wengine wanasoma kimya kimya!ukute na wenyewe wanasoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nani tena huyo jamaniKuna mwenzetu naye wa Jf katutoka leo ni Tanzia tu jukwaa la Tanzia mpendwa😬
Sikutajiii we endelea kula ubuyu huku ukitaka nifungulie Code zote😬Dah nani tena huyo jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]karibu tenaa!Aisee!.
Kuna nyuzi zingine siyo za kupitia. Utaishia kuumwa kichwa kwa kutoelewa chochote.
Kwaherini Wambea wa Taifa.
Acha kabisaa halafu mzee ana damu kali hatarii yule mtoto na yy kafata kwa mdingi akee sema bidada yupo vzuri haswaa hanaga mashow offDah ina maana wa Bagawise alipiga pia ile mama dah[emoji23]!!! Yule mzee nimemvulia kofia aisee,,,mtoto nilimuona sana kwenye movie za Mussa banzi zile nikawa namtamani japo nilikuwa home boy kumbe mzee wa Mipapai kashatia ki Zygote [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi yule demu kaolewa?Acha kabisaa halafu mzee ana damu kali hatarii yule mtoto na yy kafata kwa mdingi akee sema bidada yupo vzuri haswaa hanaga mashow off
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28]imebidi nichekeee!km madam ticha enzi uviko jiwe akasema "muambie mmeo anisamehe nakupigia mpk SAA nane usiku" Mme mwenyewe ndo yeye sasa[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]anajikoshaaaaHahahaha baada ya kuanza kuvaa sare na yule mchimba chumvi wake pale uhalawe kidongo chekundu nilimsikia alwatani Jabali akimtia spana kwenye kadamnasi kuwa “Nilishamwambia aachane na mambo ya wake za watu” [emoji23][emoji23][emoji23] ila Jabali alikuwa Mwamba sana yani. Hapo hapo akadai jamani wananchi hii pisi hamuioni jamani imenyooka namna hii! Akawasakizia wahuni wamtafune DC bigjii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Yaani hata hakuogapa mvua 30??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] et nguzo za REAHahahahah na wote wanatafunana balaa yani sio wamama wala mabinti yani ni mwendo wa kugawana nguzo za REA tu[emoji23]
Mtaratibu sanaa ila kuna kipnd alikuwa anafanya mambo za kenwoodIla huyo mdd yn yuko cool. Amejitahid sn hana maskendo sn km bongo muvi wenzie
Eeeh hyo nmeiona dhaaaaKuna mwenzetu naye wa Jf katutoka leo ni Tanzia tu jukwaa la Tanzia mpendwa[emoji51]
Kwa hao ndo wengi Zaid na wamewekaHamna mmbongo hapendi haya maswala sababu ni relaxing! Wapo watu wana view kimya kimya ila hawatii neno
Mtakuja kufa mbwa nyiny...ndikumana unajua alikufa na ugonjwa gan....dogo janja full kukohoa...*****...watoto wa mjin tunawaangaliaga watoto wa mikoan wakija dah wanavyo yavagaaMm ule upaja na shundu tu aiseee ndo
Vinanimaliza [emoji1][emoji134]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dah mtoto “Ooh Me Ticha” ndio aliambiwa hivyo dah...,Ila Jabali alikuwa na vituko sana yule mzee nitamkumbuka sana 😂😂😂😂 eti mume mwenyewe ndio yeye sasa![emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28]imebidi nichekeee!km madam ticha enzi uviko jiwe akasema "muambie mmeo anisamehe nakupigia mpk SAA nane usiku" Mme mwenyewe ndo yeye sasa[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]anajikoshaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app