Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Ss hv mpare angekua mrs fulani, mana hd kwny msiba alipewa kipaumbele sn km mke vile, dah sema ndo hivo kifo kimeharibu mambo.
Hahahah ila mpare anamvuto kama yai la kisasa bana sio ile furu minjiks (Era-lighting mke spit out)
Naona hata wana Muleba walielewa chombo af kitoto kidogo kibichi!

Nahisi baada ya taarifa ya condolences minjiks alipop champange huko aliko na kibent 10 wake shebby chogo!
 
Betina hakuamini Hilo Jambo lilitokea ghafla bin vuu na aliutafta ubunge kwa nguvu zote plus misaada mbona sikuhizi haitoa tena huko jimboni. Mr. Too atamnyoosha njia nyeupe.
Ila Mr. Slow slow enzi za jabali alikuwa untouchable juu ya kila kitu, yeye ni yeye ni alfa na omega hadi kuita V8 vieti sikuhizi kawa mdogo ka piritoni anapinga tu chanjo hajui anajichimbia kaburi lake mwenyewe. Jamani tuheshimu watu sponsa hufariki
Watu hawaelewi tu dharau na majigambo si mazuri halafu huyo mr slow slow si kazaa na yule bongo movie aliyekuwa anataka ubunge
 
Dah ina maana wa Bagawise alipiga pia ile mama dah[emoji23]!!! Yule mzee nimemvulia kofia aisee,,,mtoto nilimuona sana kwenye movie za Mussa banzi zile nikawa namtamani japo nilikuwa home boy kumbe mzee wa Mipapai kashatia ki Zygote [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisaa halafu mzee ana damu kali hatarii yule mtoto na yy kafata kwa mdingi akee sema bidada yupo vzuri haswaa hanaga mashow off
 
Hahahaha baada ya kuanza kuvaa sare na yule mchimba chumvi wake pale uhalawe kidongo chekundu nilimsikia alwatani Jabali akimtia spana kwenye kadamnasi kuwa “Nilishamwambia aachane na mambo ya wake za watu” [emoji23][emoji23][emoji23] ila Jabali alikuwa Mwamba sana yani. Hapo hapo akadai jamani wananchi hii pisi hamuioni jamani imenyooka namna hii! Akawasakizia wahuni wamtafune DC bigjii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28]imebidi nichekeee!km madam ticha enzi uviko jiwe akasema "muambie mmeo anisamehe nakupigia mpk SAA nane usiku" Mme mwenyewe ndo yeye sasa[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]anajikoshaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji28]imebidi nichekeee!km madam ticha enzi uviko jiwe akasema "muambie mmeo anisamehe nakupigia mpk SAA nane usiku" Mme mwenyewe ndo yeye sasa[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]anajikoshaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dah mtoto “Ooh Me Ticha” ndio aliambiwa hivyo dah...,Ila Jabali alikuwa na vituko sana yule mzee nitamkumbuka sana 😂😂😂😂 eti mume mwenyewe ndio yeye sasa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom