Mdogo wa rafiki yangu Nigeria alikua anatoka kimapenzi na senator wa nchi yao. Danga alikua kwenye ule mkoa wa mafuta.
Bibi yule alipelekwa Ufaransa shopping, Marekani kuona mji na kutoa ushamba. Dubai ilikua ni weekend trips tena na mashost. Handbags, viatu na perfume alinunua YSL, Gucci, na Channel.
Alishazoea kulala five star hotels. Mzee alikua ana credit account yake kila mwezi. Kwakua yuko busy na familia yake walionans kwa nadra sana.
Siku danga liliposema it’s over between us dada alipata mental break down.