joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Steve yupo vizuri ukuadi na uchawa wa wanasiasa na matajiri umemlipa, 2016 jamaa alikuwa ana malizia nyumba yake maeneo ya kawe plus alikuwa anasukuma Prado, we unazani kummiliki Wellu swala dogo,alikuwa ana mgharamia kila kitu mpakausafiri alimnunulia.Mwingine n Kaka Yao Steve miaka nenda
Rudi anashindwa kuweka hata Ka busi
Mahali sasa anangojea uteuz uteuz
Ila alivyo ingia JPM alidrop sana labda sasa aanze tena michakato.