Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa Acha kabsa
Mwamba hakuna anakopesha dam yani

Hapo ndo mama juju alichoka
Baada yakuona sasa imezd
Maana Mrs nenga nae alikua ndan
Kupokea moto
Hahahahah hivi Mrs. Nenga nae vipi ndio kwamba maji yalishamwagika ama wanaendelea na project zao za kiyunani 😅
 
Kanuni za umbea Kwanzaa unapaswa kuwajua watu maarufu wengi sanaa!
Yaani@wit kaifungua fastaaa mpk nimeinjoi wewe unataka nimtaje [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]pambana Leo!Kwaniii!!Si ndo wanaelekea huko sasa!!!mama na mwana wameenda Nairobi kudangaa!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hujaona P na K
Shilingi ya Nairobi iko juuu
Watadanga Kwa faida
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dhaaaa Acha kabsa
Mwamba hakuna anakopesha dam yani

Hapo ndo mama juju alichoka
Baada yakuona sasa imezd
Maana Mrs nenga nae alikua ndan
Kupokea moto
Ule moto ni hatari ...ni umesambaa kwenye nyasi sasa[emoji848][emoji848]
 
Nyie si mnaonaga K ni mtaji?
Kama una mume anakujali itulize papuch wanaume tuna visasi utajifia bure
Yaani yule dada wenziwe kwanza
Walikua wanamuonea choyo alivoolewa na kaka handsome na anajiweza
Pili alikua anapendwa mama kila kitu anapewa na watoto wake wanahudumiwa na baba wa watu
Unaolewa unaenda ishi kwenye lijumba la kifahari vileee

Sasa wanafurahia balaa wanamcheeekaaa wanasema akome kizee kile[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]!!!!
 
Ka [emoji336][emoji336][emoji336] [emoji338][emoji338][emoji338] kumbe ni mbaya?? Ila acha tu wawatafune! Maana wao wanaamini mbususu ndiyo inaweza kuwatoa kimaisha! Kumbe kuna wakati wahafidhina,hua wanaichakata tu,nakuiacha inasoma odometer za kwenda kua chakafu huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Shoooga sio kila handsome free p au mariooo!!jamaa zipo vzr..
Bimkubwa yule hakutaka kutandika daruga la kudanga chini kama wenziwe baada ya kupata wa kumstiri...sasa sijui Mme kibamia[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]!!!akawa anapiga ndodo km kawa....!mshikaji akaskia tena kafumaniwa na mcheza mpiraaa [emoji2][emoji2][emoji1][emoji1]wa timu ya.....Siitaji ng'ooooo. ...ila hizi 3 kubwaa!tena ndani kwa mshikaji!Hapo kuna msamaha tena?

Mmama hajielewi yule balaaaa!kaachwa na katoto!
Ndo bwamkaka yuko na Tessy!kwa sasa
Aseee ni balaa

Ndo maana kapoaaa hataree, ila Tessy anakula vichwa yule demu mweeeh!
 
Ewaaaa umepata kabisaaa!!!Karma naskia hajampa hata 100% na anamsainishaga mikataba ya kichif mangungoo!!kila kitu yeye mwenziwe hapati kitu!!upooo nyonyo?!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]mpk wale matwins ye ndo alikua anawalea!!!mshenzi yule dada mnooo!!!
[emoji23][emoji23]wema ni kichwa Nazi an empty box
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom