Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ukiona body utasema inadai 😅 chombo ya kwenda ila ukijitusu tu vimeumana😅😅😅DC naye kapita kwingi mno na alianza kula makitu akiwa udsm na alitembeza kwa ma lecturer had kupata first class pale. Na hyo kuzaa itakuwa anajijua status yake ndio maana huwa hasemi no kwa yoyote dah atawamaliza wanaume aisee.