Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
As long as anatumia dawa zake.... Mostly huwa wanakuwa salama kama wasio na ngoma.

Ngoma ingekuwa rahisi hivyo wengi sana wangeshaukwaa- Ila celebrities wengi ni wamoto, kuwa makini 😅
mfano kile kimelea cha mwaka 80 kikitupwa ghafla kwa mmbongo movie mmoja leo tu tutawazika kama kuku! Maana kilikuwa kinaondoka na batch kila baada ya miezi mitatu 😅😅😅
 
Si ndo kukosa exposure hawa wasanii ukitoka nao unapata gundu tu wema mwenyewe alianza kupoteza focus baada ya kuanza kutoka na diamond sasa nawaza hawa wasanii hulogana nyota au kitu gani?
Na wema ndio kamuinia Dai, wanachawiana hawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom