Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Yani kweli mtu yupo steji ile akajilipua mmmh si bora awe na afya kwamba alikua hajui??? Kwahiyo na billmivyupi pia...Kama wanavyosema mwenye festival zake nae naniiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kweli mtu yupo steji ile akajilipua mmmh si bora awe na afya kwamba alikua hajui??? Kwahiyo na billmivyupi pia...Kama wanavyosema mwenye festival zake nae naniiiii
Nilishawahi kusikia pia....Ukute wote ni wafua umeme! Kwa hiyo, vikiungana ni full kutema cheche! Kuna Mshikaji wangu yuko karibu na ile familia,alishawahi niambia,hua hakanyonyeshi kakizaa!
😁😁Code simpooo ,nenda Zanzibar taja visiwa,Ingiza jina la mcheza movie za kichina yule chalechale then chukua jina la mwanzo na la kisiwa cha kule makunduchi,mtafute sista ake huyo mshikaji Google! Usipoelewa hapo mi nakuvua vyeo vyote vya kukaa ilala hii ya mtaa wa Arusha na kwa yule muuza chips maarufu wa enzi hizo jina limentoka kidogoo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida show off angrkula kimya kimya angebadilika nini, huyu soon anaachiwa manyoya,Anarurusha roho Sanaaa sasa..akati ela zetu wenyewe mi nakatwa 2810 kwenye kutoa 20k loooohhh!!baasi ale pole pole na kimya kimya kama wenziweee!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwa code shoo ngoja nikusaidie mmoja upande wa lidas yule aliyekuwaga kule kwnye ile sekta ya kijani kibichi akapigwa chini na stone sasa wa nyuma yake[emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092]Mimi binafsi naogopa kuwamention nasubiri mpk mtu mmoja ajipopoe mi niongezee maana uzi una viewer's 58k sio masiharaa etii!![emoji56][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dada hana peace of mind watoto watatu wote kila mtu na babake si kufeli mahusiano hafu naye ni wa long sana level za veteran[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu kuna siku kajitutumua kupost jipost reeeefu eti she is comfortable, hajisikii sijui vibaya kuwa na watoto wa baba tofauti..... akaanza kupambwa na wenzie kina mama jujuju
Duh hii noma sana, huyu anaweza mshinda kajalaMama mwenyewe hana Mme,mtoto atapata wapi Mme zaidi yakudanga tu,sema yeye udangaji wake ni wakificho sana,sio kama tutusa Kajala! Binti ana kiburi shetani anasubiri!
Ashukuru walau binti ake anajielewa, asifate nyayo....kuzaa zaa hivyo hata sio ishu kwakweliYule dada hana peace of mind watoto watatu wote kila mtu na babake si kufeli mahusiano hafu naye ni wa long sana level za veteran
Dah si ananyonyesha huyo wolpa ataharibu mtoto.Ila mwambie wolper apunguze pombe
Hahahaaaa.Haa haa mie mpaka sahizi nahangaika nao [emoji1][emoji3], tatizo CODE nyingi sana
Anhaa hapa usipoinyaka sasa utatuangusha wakat mtoto wa town weyee[emoji12][emoji16][emoji16]
Mkuu ngoja niingie kazn
Hivi pale private si laki sita au alikaa siku nyingi?Dah si ananyonyesha huyo wolpa ataharibu mtoto.
Ka anakunyimwa sana basi ana stress za uzazi plus kukosa hela maana huko agha khani kwenyewe alichangiwa
Mamaa jujuu naskia roho yake ngumu kuliko ya mkaanga sumu plus unafiki wa kiwango Cha lamiJeuri yule kuna mkaka alisemaga yule sio mwanamke wa kutoa yule ni kuchapa unasepa
Ni jeuri balaaa,yaani kibri haswaa....!!!Mashosti lazima wamtie ndimu,we mule wale wananafikiana sana wale!mama jujuju yule hanenepi kwa roho mbaya!yaani kaone vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
Alifanyaje had akaachwa, inaonyesha mnafiki sana kipindi watu Wana mshambulia Paula yeye akawa ana mpost mwanawe na Matokeo yake ya shule ili mwanawe aonekane mzuri etiBimkubwa ake kaolewa km 10yrs ago hivi!ila demu ana kibri yule hayat Otieno ndo anajua na yule baba wa pili wa mtoto alichomfanya hana hamuu;
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni wale mashoga zake alivyowagombanisha hadi wakapatana halafu ford si alimpeleka polisiMamaa jujuu naskia roho yake ngumu kuliko ya mkaanga sumu plus unafiki wa kiwango Cha lami
Wengi hujificha kwa kujifanya Wana eagle sijui DStv ili kufanya uchafu wao tu Wana eagle wa kweli ni difficult ku predictKwenye hili la wakaka kuliwa ni shida mno! Ukipewa list yake,unaweza hama Tanzania,huyu mwenye vazi la kike,watu hua wanasema eti ni mwana eagle house pale osybey nyuma ya dstv ya zamani,lakini watu wakapekecha file,wakapata data zake! Hata semaji staafu la lion nalo shida tu!
Kwakeli bill sejua hapoo daahYani kweli mtu yupo steji ile akajilipua mmmh si bora awe na afya kwamba alikua hajui??? Kwahiyo na billmivyupi pia...
Yes pia kuwa chaja ya kobeKuhusu kuna donkey vijana wa mjini sishangai wala sikataii miye tamaa mbaya sanaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheby wa kawaida tu, huyo kimbaumbau alipewa tu connection ili kumkomoa mzazi mwenzaSheby ana mpunga, katelefone ni mjomba wake kabisa! Na ndiyo kakuliwa na kulelewa na katelefone