Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Code simpooo ,nenda Zanzibar taja visiwa,Ingiza jina la mcheza movie za kichina yule chalechale then chukua jina la mwanzo na la kisiwa cha kule makunduchi,mtafute sista ake huyo mshikaji Google! Usipoelewa hapo mi nakuvua vyeo vyote vya kukaa ilala hii ya mtaa wa Arusha na kwa yule muuza chips maarufu wa enzi hizo jina limentoka kidogoo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁
Mkuu ngoja niingie kazn
 
Anarurusha roho Sanaaa sasa..akati ela zetu wenyewe mi nakatwa 2810 kwenye kutoa 20k loooohhh!!baasi ale pole pole na kimya kimya kama wenziweee!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida show off angrkula kimya kimya angebadilika nini, huyu soon anaachiwa manyoya,
Dah ila kwa tozo umenikumbusha machungu
 
Mimi binafsi naogopa kuwamention nasubiri mpk mtu mmoja ajipopoe mi niongezee maana uzi una viewer's 58k sio masiharaa etii!![emoji56][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwa code shoo ngoja nikusaidie mmoja upande wa lidas yule aliyekuwaga kule kwnye ile sekta ya kijani kibichi akapigwa chini na stone sasa wa nyuma yake[emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu kuna siku kajitutumua kupost jipost reeeefu eti she is comfortable, hajisikii sijui vibaya kuwa na watoto wa baba tofauti..... akaanza kupambwa na wenzie kina mama jujuju
Yule dada hana peace of mind watoto watatu wote kila mtu na babake si kufeli mahusiano hafu naye ni wa long sana level za veteran
 
Mama mwenyewe hana Mme,mtoto atapata wapi Mme zaidi yakudanga tu,sema yeye udangaji wake ni wakificho sana,sio kama tutusa Kajala! Binti ana kiburi shetani anasubiri!
Duh hii noma sana, huyu anaweza mshinda kajala
 
Jeuri yule kuna mkaka alisemaga yule sio mwanamke wa kutoa yule ni kuchapa unasepa
Ni jeuri balaaa,yaani kibri haswaa....!!!Mashosti lazima wamtie ndimu,we mule wale wananafikiana sana wale!mama jujuju yule hanenepi kwa roho mbaya!yaani kaone vilevile

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamaa jujuu naskia roho yake ngumu kuliko ya mkaanga sumu plus unafiki wa kiwango Cha lami
 
Bimkubwa ake kaolewa km 10yrs ago hivi!ila demu ana kibri yule hayat Otieno ndo anajua na yule baba wa pili wa mtoto alichomfanya hana hamuu;

Sent using Jamii Forums mobile app
Alifanyaje had akaachwa, inaonyesha mnafiki sana kipindi watu Wana mshambulia Paula yeye akawa ana mpost mwanawe na Matokeo yake ya shule ili mwanawe aonekane mzuri eti
 
Kwenye hili la wakaka kuliwa ni shida mno! Ukipewa list yake,unaweza hama Tanzania,huyu mwenye vazi la kike,watu hua wanasema eti ni mwana eagle house pale osybey nyuma ya dstv ya zamani,lakini watu wakapekecha file,wakapata data zake! Hata semaji staafu la lion nalo shida tu!
Wengi hujificha kwa kujifanya Wana eagle sijui DStv ili kufanya uchafu wao tu Wana eagle wa kweli ni difficult ku predict
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom