usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Nenga me naona Hana tofaut naMbezi sehemu gani I'm sure nandy anadanga na bill nenga hana cha kumfanya
Kusah ukiongeza na whoz
Mzik umewashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenga me naona Hana tofaut naMbezi sehemu gani I'm sure nandy anadanga na bill nenga hana cha kumfanya
Lakin TTCL walikuja katikati mpira ukiwaHapana mkuu Lile dili Ni la Nandy advertisement kwenye radio kasimamia TTCL so anachopata Nandy anakipata chote. Nandy Hana watu wa Kati wengi. Ndio maana nakwambia ana pesa huyu dogo acha tu muone hivyo hivyo
Radio promo anasimamia TTCL ila mpunga anaingiziwa Nandy.Lakin TTCL walikuja katikati mpira ukiwa
Umeshaamza
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] warabu pesa Yao haitokNa huyo SMG anapenda sana makalio
Heeeee bas Kama n kweli kunaRadio promo anasimamia TTCL ila mpunga anaingiziwa Nandy.
Hahahah!wapare bahili sana tena mnoo!yaani anakula ugali kwa picha ya samakiManzi hela anayo aiseeh!
DSTV wamempa milion zaidi ya 150 kuigiza ile tamthilia yao.
Nandy festival TTCL wamempa zaidi ya Milion 150 na Bia ya Guinness wakampa milion 20.
Hapo sijaja kwenye music Streaming platforms na dili zingine Kama endorsement. Hela anayo Nandy trust me! Tena ipo
Ila Huyo manzi Ni bahili sijapata kuona. Hata Kama umefanya nae kazi shida kulipa.
[emoji16][emoji23][emoji2]kakudhulumu nini mzee babaa!!!!?daahh hawa wasanii hawaKama nasema uongo Mungu aniadhibu.
Nandy acha ubahili lipa pesa za watu.
Wapumbavu mno mkuuHahahah!wapare bahili sana tena mnoo!yaani anakula ugali kwa picha ya samaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa anawalipa kweli wasaidiz wake?au ndo anaogopa zitaishaa!?!!Wapumbavu mno mkuu
Nakwambiaje , Nandy ni Bahili sijapata kuona
Diva ukiwa mtu WA Uber hata huwez[emoji16][emoji23][emoji2]kakudhulumu nini mzee babaa!!!!?daahh hawa wasanii hawa
Yale Yale ya divathe boss uchwara anakopa halipi jamani hivi wana shida gani?
Mama kuki nae akawapiga kina wopa pesa za upatu!!kaaahhh sijui wana shida gani!jamani jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhuuuu ww inaonekana umefanya naeNakwambiaje , Nandy ni Bahili sijapata kuona
Mambo mengine namlindia heshima , yeye alipe madeni
Sahani ya wenye njaaHuyo loydemich ni nani hapa mjini?
Daaahh!sio kwa ubahili huoo!Nakwambiaje , Nandy ni Bahili sijapata kuona
Mambo mengine namlindia heshima , yeye alipe madeni
Hahahahha!naskia ni tapeli la kutupwa the boss uchwara!!hana lolote!Diva ukiwa mtu WA Uber hata huwez
Mbeba maana anakaatu tapel
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Sahani ya wenye njaa
Kabisa ukubwa wa kina Tu huyoHahahahha!naskia ni tapeli la kutupwa the boss uchwara!!hana lolote!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] warabu pesa Yao haitok
Hiv hiv jaman lazma ugaramike[emoji2][emoji2][emoji2]