Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Manzi hela anayo aiseeh!

DSTV wamempa milion zaidi ya 150 kuigiza ile tamthilia yao.

Nandy festival TTCL wamempa zaidi ya Milion 150 na Bia ya Guinness wakampa milion 20.

Hapo sijaja kwenye music Streaming platforms na dili zingine Kama endorsement. Hela anayo Nandy trust me! Tena ipo

Ila Huyo manzi Ni bahili sijapata kuona. Hata Kama umefanya nae kazi shida kulipa.
Ttzo kabila lake ndo mana na yy n mbahiri
 
Kama haimuingizii hela asiwe anasaini hela za wanaume!

Halafu hizo festival Hakuna kutegemea gate collection maana mdhamini ameshalipia kila kitu , gate collection Ni za msanii kuongezea tu .

Ni Kama Nandy festival Zanzibar waliinyima vibali ikafanyika late na kidogo itokee vurugu (Imagine festival ilifanyika kwa masaa kama manne tu) na watu wametoa viingilio. Na watu hawakufika hata 100 kwasababu serikali a Zanzibar walizingua kinyama kutoa vibali, ila hayo yote yanatokea tayari alikuwa ameshasaini zaidi ya milion 150+ kutoka TTCL.

Wasanii wanapewa milion 1 moja ni professional Jay ndio alipewa 1.5 tu.

Hiyo hela inatosha. Yeye alipe madeni tu.

Tunamuheshimu hatutaki kumwaga mboga hapa.

Chawa wake wampeleke taarifa.
Mkuu hebu mwaga kidogo robo
Ya huu ubuyu walau akipelekewa habar
Ataskia aibu atalipa
 
Kama haimuingizii hela asiwe anasaini hela za wanaume!

Halafu hizo festival Hakuna kutegemea gate collection maana mdhamini ameshalipia kila kitu , gate collection Ni za msanii kuongezea tu .

Ni Kama Nandy festival Zanzibar waliinyima vibali ikafanyika late na kidogo itokee vurugu (Imagine festival ilifanyika kwa masaa kama manne tu) na watu wametoa viingilio. Na watu hawakufika hata 100 kwasababu serikali a Zanzibar walizingua kinyama kutoa vibali, ila hayo yote yanatokea tayari alikuwa ameshasaini zaidi ya milion 150+ kutoka TTCL.

Wasanii wanapewa milion 1 moja ni professional Jay ndio alipewa 1.5 tu.

Hiyo hela inatosha. Yeye alipe madeni tu.

Tunamuheshimu hatutaki kumwaga mboga hapa.

Chawa wake wampeleke taarifa.
Alipe hela zenu bwana huyo nandera
 
emoji16.png
emoji23.png
emoji2.png
kakudhulumu nini mzee babaa!!!!?daahh hawa wasanii hawa

Yale Yale ya divathe boss uchwara anakopa halipi jamani hivi wana shida gani?

Mama kuki nae akawapiga kina wopa pesa za upatu!!kaaahhh sijui wana shida gani!jamani jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ttzo macelebrity wa bongo wanafake sn mai
[emoji16][emoji23][emoji2]kakudhulumu nini mzee babaa!!!!?daahh hawa wasanii hawa

Yale Yale ya divathe boss uchwara anakopa halipi jamani hivi wana shida gani?

Mama kuki nae akawapiga kina wopa pesa za upatu!!kaaahhh sijui wana shida gani!jamani jamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ttzo macelebrity wa bogo wanapenda kufake maisha yn
 
Ni kweli eti hukutana na mamake kishirikina kisa masharti ya kalumanzila sasa usikute ndo wivu unaanzia hapo
Haya mambo bwana n kama
Yana ukwel maana anayoyafanya
Bi mkubwa na mtoto wakat
Mwingine unashangaa

Yani bi mkubwa wangu anawezaje
Kumiambia niachane na huyo
Mwanamke bila sababu za msingi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom