Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Sio aunty Tu hata wenzake kina shishi na
Wolpa wote hao hakuna wa maana
Alaf DC alianzaga na Hashim thabith
Naona gundu lilianzia hapa domo ndo
Akaongeza Zaid
Duh ustar bongo wengi huwa na tabia chafu za kimalaya hamna mwanaume serious wa kuweka ndani hao, na huyo mweshimiwa huwa anapenda kuji associate nao ka hajaenda shule hivi. Queen Elizabeth ana bahati sana na alivumilia bila hivo angekuja kuzalilika sana
 
Yule ana akili sn
 
Me queen maiko mpaka leo
Cjaamin Kama pale kaingia hiv hiv
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Lazma alitumia mabavu aisee

Kuna mzoga Ila ule n mzoga na nusu
Inahitaji mwanaume kichwa ngumu
Sana wa kukaa pale
 
Angejua kipindi hicho angekutulia na sasa anajuta kuhangaika na kina kiba wana mzalilisha tu bure
Hata hapo Kwa playboy n swala la
Muda Tu ngoja siku whoz akifuta mibangi
Yake ataanika kilakitu waz Kama Kwa
Mobero [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hata hapo Kwa playboy n swala la
Muda Tu ngoja siku whoz akifuta mibangi
Yake ataanika kilakitu waz Kama Kwa
Mobero [emoji2][emoji2][emoji2]
Dah mheshimiwa atafte mzee bila hivo anazidi kujiharibia, anatoka na vichaa
 
Me queen maiko mpaka leo
Cjaamin Kama pale kaingia hiv hiv
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Lazma alitumia mabavu aisee

Kuna mzoga Ila ule n mzoga na nusu
Inahitaji mwanaume kichwa ngumu
Sana wa kukaa pale
Queen Elizabeth mapito na msoto jela vilimfundisha somo akaamua kutulia na kuacha umaarufu wa kijinga akajenga ki wife material plus kuloga na kumvulia ma H20
 
Yes huyo kijana ni limbukeni katelekeza familia na watoto, pia anatafta umaarufu kwa nguvu, namhurumia huyo mrembo wa Temeke maana kadaganywa na pete na anataka ndoa ila alipoangukia atalia wallah
We muache anaolewa na...!!wadada bwana kufia ndoa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom