usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Huyu dem atakuja Juta SanaHabari ndo hyooo
Ngoja tunywe motor nyama
Ziko chiini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dem atakuja Juta SanaHabari ndo hyooo
Na ameacha uchawi kweli huyuQueen Elizabeth mapito na msoto jela vilimfundisha somo akaamua kutulia na kuacha umaarufu wa kijinga akajenga ki wife material plus kuloga na kumvulia ma H20
Vichaa na nusu kuna mdau huko juuDah mheshimiwa atafte mzee bila hivo anazidi kujiharibia, anatoka na vichaa
Ubongo movie umewafikisha na akipata mtu serious atulie sasa aache umama hurumaVichaa na nusu kuna mdau huko juu
Alisemayule n zao la bongo muvi
Kwa hyo n muendelezo Tu unafanyika
Sidhani ila malkia huwa ana akili sanaNa ameacha uchawi kweli huyu
Eeeh Kwa akili ya kujiongeza hajambo kwakweli skendo ya kuloga Tu ndoSidhani ila malkia huwa ana akili sana
cariha huyu mkinga mwenzangu sijui mbena kumbe Ana mke kabisa?? Sasa kwa kina KITIDO NA MISA MOBEDE anatafuta nini... anaforce umaarufu ambao mwisho wa siku akianguka afe kwa stress..... KAZISANAKULINDA UTAJIRI NA UMAARUFUYes huyo kijana ni limbukeni katelekeza familia na watoto, pia anatafta umaarufu kwa nguvu, namhurumia huyo mrembo wa Temeke maana kadaganywa na pete na anataka ndoa ila alipoangukia atalia wallah
Huyo mkinga wako anataka umaarufu kinguvu ndio maana anatumia hao mastar na sasa yuko kwa kidoti na kahaaidi hadi ndoa hapo na kidoti kaamini wakati ana mke. I feel sorry kwa mkewe.cariha huyu mkinga mwenzangu sijui mbena kumbe Ana mke kabisa?? Sasa kwa kina KITIDO NA MISA MOBEDE anatafuta nini... anaforce umaarufu ambao mwisho wa siku akianguka afe kwa stress..... KAZISANAKULINDA UTAJIRI NA UMAARUFU
[emoji3][emoji3][emoji3]duuDuh,ila Dar watu ni wambea balaa,ndio maana joto haliishi huo mji
Hatari, nasikia wakiwa kule wanajiachia balaa si wanawake wala wanaumeWakiwa kule dom wamezoea maisha ya kujiachia na kwa vile sehem salama ya kukitana ni nyumban kwake na ratiba za mume wake alikua anazijua hakua na was ila mume alitoka kazin akaunga kwenda dom usiku kwa usiku ile anafika dom akakuta kama alivyoambiwa
Naona bado upo na uzi mkorogano [emoji23][emoji23][emoji23]Hiv hiz tetes n za kweli hapa mjin
Kwamba mwenye temeke yake
Ni food ya price break Kwa sasa
Na Mambo n kama yanaenda open
Taratibu taratibu
Wali mandondo mixe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kule unajua n oficn Kama hiz officeHatari, nasikia wakiwa kule wanajiachia balaa si wanawake wala wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] kila nikizunguka naukuta unasogea tuWali mandondo mixe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Na kuna uezekano kidot na Paula wakazaaHuyo mkinga wako anataka umaarufu kinguvu ndio maana anatumia hao mastar na sasa yuko kwa kidoti na kahaaidi hadi ndoa hapo na kidoti kaamini wakati ana mke. I feel sorry kwa mkewe.
Itakuwa walimtonya Mzee baba, naye penzi la wizi unajiachia vipi jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Kule unajua n oficn Kama hiz office
Zingine zetu huku so
N kujiachia Tu maana hata makazin
Kwetu huku hakika hakuna anaetaman
Mwenza wake ajue yanayoendelea
Huku makazin kwetu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Huyo n Kama enz za wema Kama hunaUwoya akikukubali anakutongoza mwenyewe, akikuchoka anakupiga chini mf Msami, Kala, Linex hawa wote walidate kwa style hiyo hiyo. Linex nasikia alikomaa akamwambia una hela ya kunitunza,akawa mpole.
Juzi tu hapo kadate mpaka na Young Lunya, kama kweli ana Lukanga basi anausambaza kweli kweli.
Vya kuiba vitamuItakuwa walimtonya Mzee baba, naye penzi la wizi unajiachia vipi jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app