Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kijana ana date kufata masilahi huyo Jojo ndo alimpa connection ya uvccm so no real love hapo ni kutumiwa kwa mrembo
Na kijana anatafta umaarufu vizur ili jez
Za Simba zije kuuzika vizur awe ametengeneza
Jina huko insta kawalipa machawa
Wake wengi wampromote nlishangaa
Kuona Hadi diva anampigia Debe yani
 
Wanamfamyia bure matangazo kwa kudaganywa na swala la mahusiano Yale Yale ya wema kutoka na diamond akiwa hajulikami katumika na diamond sasa hivi kapotea hana mbele wala nyuma
Na hua hawajifunz Kwa wenzao yani
Hawaon hata kwa shilole vijana
Wanaenda kutafta jina wakishalipata
Wanakimbia mfano Yule fundi garage
Kwa sasa ameshakuza jina anazunguka Tu na
Familiar ya domo na katoka kupitia shishi
 
Ujue mastar wetu empty set na wame lack exposure ya mambo na wanashindwa kutumia umaarufu wao kuwa matajiri wategemea kudanga tu. Shilole yeye kazi yake kuwasaidia vibenten kupata umaarufu vikishajulikana vinaanza usumbufu. Zari baada ya kupata umaarufu tzi alipata madili makubwa kuliko mastaa wetu
 
Na angeendelea kukaa hapa madili yote
Yangeenda kwake zai mwanamke na nusu
Yule sio Kama hawa wadangaj wa bongo
Movie
 
Ujue mastar wetu empty set na wame lack exposure ya mambo na wanashindwa kutumia umaarufu wao kuwa matajiri wategemea kudanga tu. Shilole yeye kazi yake kuwasaidia vibenten kupata umaarufu vikishajulikana vinaanza usumbufu. Zari baada ya kupata umaarufu tzi alipata madili makubwa kuliko mastaa wetu
Exposure matters alot...mastaa wetu wengi ukiacha exposure wengi shule hamna...asa ni kampuni gan itampa dili mtu anajiita shishi trump? Watu ngeli zinawashinda kila uchwao maskendo ya hovyo umalaya malaya tu...hovyo sana hawa
 
Wanamfamyia bure matangazo kwa kudaganywa na swala la mahusiano Yale Yale ya wema kutoka na diamond akiwa hajulikami katumika na diamond sasa hivi kapotea hana mbele wala nyuma
Kwaio hakojoi wala hanyi syo?...[emoji1][emoji1] (natania)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom