Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Hata huyo shishi vile shule yake ndogo na huwa anajiropokea angejua potential yangu angekuwa mbali zaidi shida anawaza kuoa vibeten na kuolewa olewa hovyo na kujiropokea mitandaoni
Yani na anaropokaga sn shishi. Angetafuta tu mtu mzima mwenzie aachane na hao viben10 wake
 
Yani na wema kipindi anatoka naye alikuwa yuko pick na mahusiano na daimond yalimshushia mno heshima yake na madanga serious, sasa wamemsusa
Watu walisema dai sio hadhi yake, lkn wala hakujali. Na akampa umaarufu sana sana. Inabid dai awe anamtumia miamala jmn mara moja moja kulipa fadhila
 
Na zarina ndio aliyekuja kufifisha umaarufu wa wema, na yeye hamisa akaja kufifisha umaarufu wake Tanzania baada ya kuzaa yule Dylan.
Eeh kipind kile zar alijitapa sn hlf alikua anamchamba wema sijui hana kikazu, hamisa alivozaa na mondi watu walifurah et kamkomesha zari
 
Watu walisema dai sio hadhi yake, lkn wala hakujali. Na akampa umaarufu sana sana. Inabid dai awe anamtumia miamala jmn mara moja moja kulipa fadhila
Na wema licha ya kusemwa hakusikia akamganda tu huyo daimond kipindi amepauka, ndio sasa hawa mastaa wajifunze na kuacha kutumika ka madaraja kwa wengine
 
Eeh kipind kile zar alijitapa sn hlf alikua anamchamba wema sijui hana kikazu, hamisa alivozaa na mondi watu walifurah et kamkomesha zari
Zari na lile guu lake plus kuzaa na daimond madrama ya ugeni na kushobokewa ikifikia hatua akawa anatukana watanzania juu kisa kumpa ustar, sasa mobeto ndio akamaliza kazi kabisa, kweli dawa ya mwanamke jeuri mtaftie mwanamke mwenzake.
 
Mobeto alijua kukata jeuri ya zari yani. Mana alijitambaaa sana sana
 
Ila dai ktk watu ambao hatakiwi kuwasahau n wema mana alimpandisha sn hadhi yake.

ktk watu waliojua kutumia vzr umaarufu wa ni zari. Yani ana akili sn sn madili km yotw
Wema alimfanya Diamond awe mwandishi mzuri hasa upande wa mapenzi kwani alimuumiza sana kijana, hapa Tabata kuna jamaa John Mangi alipiga hela TANAPA akafungua grocery yake, mwanzoni akawalipa Bongo Movies hawa akina Kanumba, Aunt Ezekiel na wengine wengi, wakawa kama wahudumu kwa ajili ya kuipromoti grocery, nasikia alimtaka Wema wasanii wenzake wakawa madalali, Wema kaja Tabata ,John kamchukua kampeleka hotelini kujipigia.

Mondi anakuja kwenye grocery kuna wana walimtonya kuja pale bongo movies wakamletea ukauzu wakasema hawajui, kumbe John Mangi anajipigia tu na si mara moja jamaa kapiga mara kibao.

Ila kwa sasa jamaa mwenyewe kafilisika maisha yake yanategemea betting na mikeka yake ya jero jero.
 
Labda watu wazima hawamtaki..kiuhalisia hao watu wazima hawawezi drama za mitandao na wanataka mtu msikivu sasa hawa kina shishi hawataki bila drama hawawezi wanataka ku control mahusiano.
Wameshazoea kiki, na kuishi bila kiki hawawez.
 
Wema alimfanya Diamond awe mwandishi mzuri hasa upande wa mapenzi kwani alimuumiza sana kijana, hapa Tabata kuna jamaa John Mangi alipiga hela TANAPA akafungua grocery yake, mwanzoni akawalipa Bongo Movies hawa akina Kanumba, Aunt Ezekiel na wengine wengi, wakawa kama wahudumu kwa ajili ya kuipromoti grocery, nasikia alimtaka Wema wasanii wenzake wakawa madalali, Wema kaja Tabata ,John kamchukua kampeleka hotelini kujipigia.

Mondi anakuja kwenye grocery kuna wana walimtonya kuja pale bongo movies wakamletea ukauzu wakasema hawajui, kumbe John Mangi anajipigia tu na si mara moja jamaa kapiga mara kibao.

Ila kwa sasa jamaa mwenyewe kafilisika maisha yake yanategemea betting na mikeka yake ya jero jero.
Ila wema na dai walipendana sana, ttzo ilikua ni pesa mana daj alikua hana hela na wema nae alikua n mtu wa matumizi tu so kudanga ilikua ndo option kwake japo alimpenda dai.
 
Kipindi fulani dogo alikuwa anatoa nyimbo nyingi za kulalamika, kumbe Wema alikuwa anampiga matukio.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom