Wema alimfanya Diamond awe mwandishi mzuri hasa upande wa mapenzi kwani alimuumiza sana kijana, hapa Tabata kuna jamaa John Mangi alipiga hela TANAPA akafungua grocery yake, mwanzoni akawalipa Bongo Movies hawa akina Kanumba, Aunt Ezekiel na wengine wengi, wakawa kama wahudumu kwa ajili ya kuipromoti grocery, nasikia alimtaka Wema wasanii wenzake wakawa madalali, Wema kaja Tabata ,John kamchukua kampeleka hotelini kujipigia.
Mondi anakuja kwenye grocery kuna wana walimtonya kuja pale bongo movies wakamletea ukauzu wakasema hawajui, kumbe John Mangi anajipigia tu na si mara moja jamaa kapiga mara kibao.
Ila kwa sasa jamaa mwenyewe kafilisika maisha yake yanategemea betting na mikeka yake ya jero jero.