Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Dah mheshimiwa atafte mzee bila hivo anazidi kujiharibia, anatoka na vichaa
Vichaa na nusu kuna mdau huko juu
Alisemayule n zao la bongo muvi
Kwa hyo n muendelezo Tu unafanyika
 
Vichaa na nusu kuna mdau huko juu
Alisemayule n zao la bongo muvi
Kwa hyo n muendelezo Tu unafanyika
Ubongo movie umewafikisha na akipata mtu serious atulie sasa aache umama huruma
 
Uwoya akikukubali anakutongoza mwenyewe, akikuchoka anakupiga chini mf Msami, Kala, Linex hawa wote walidate kwa style hiyo hiyo. Linex nasikia alikomaa akamwambia una hela ya kunitunza,akawa mpole.

Juzi tu hapo kadate mpaka na Young Lunya, kama kweli ana Lukanga basi anausambaza kweli kweli.
 
Yes huyo kijana ni limbukeni katelekeza familia na watoto, pia anatafta umaarufu kwa nguvu, namhurumia huyo mrembo wa Temeke maana kadaganywa na pete na anataka ndoa ila alipoangukia atalia wallah
cariha huyu mkinga mwenzangu sijui mbena kumbe Ana mke kabisa?? Sasa kwa kina KITIDO NA MISA MOBEDE anatafuta nini... anaforce umaarufu ambao mwisho wa siku akianguka afe kwa stress..... KAZISANAKULINDA UTAJIRI NA UMAARUFU
 
Huyo mkinga wako anataka umaarufu kinguvu ndio maana anatumia hao mastar na sasa yuko kwa kidoti na kahaaidi hadi ndoa hapo na kidoti kaamini wakati ana mke. I feel sorry kwa mkewe.
 
Wakiwa kule dom wamezoea maisha ya kujiachia na kwa vile sehem salama ya kukitana ni nyumban kwake na ratiba za mume wake alikua anazijua hakua na was ila mume alitoka kazin akaunga kwenda dom usiku kwa usiku ile anafika dom akakuta kama alivyoambiwa
Hatari, nasikia wakiwa kule wanajiachia balaa si wanawake wala wanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mkinga wako anataka umaarufu kinguvu ndio maana anatumia hao mastar na sasa yuko kwa kidoti na kahaaidi hadi ndoa hapo na kidoti kaamini wakati ana mke. I feel sorry kwa mkewe.
Na kuna uezekano kidot na Paula wakazaa
Kwa wakat mmoja watapishana siku kadhaa
Tu
 
Kule unajua n oficn Kama hiz office
Zingine zetu huku so
N kujiachia Tu maana hata makazin
Kwetu huku hakika hakuna anaetaman
Mwenza wake ajue yanayoendelea
Huku makazin kwetu
Itakuwa walimtonya Mzee baba, naye penzi la wizi unajiachia vipi jamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwoya akikukubali anakutongoza mwenyewe, akikuchoka anakupiga chini mf Msami, Kala, Linex hawa wote walidate kwa style hiyo hiyo. Linex nasikia alikomaa akamwambia una hela ya kunitunza,akawa mpole.

Juzi tu hapo kadate mpaka na Young Lunya, kama kweli ana Lukanga basi anausambaza kweli kweli.
Huyo n Kama enz za wema Kama huna
Pesa Hana shuhul na wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom