Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Macebrities wa Bongo wengi hawana exposure Wema yuko Bongo na wanaume wabongo wanapenda makalio yeye badala ya kutengeneza kalio likae vizuri kajikondesha mwili mzima mpaka traco aende US au Ulaya ndio atapata mabwana wa vishape hivyo.

Mange mjanja anajua US ni shape gani zinalipa , angalia nae Shishi babe siku ya wananchi day kachomekea flana tumbo kubwa hayo mafuta ya unene si aende Uturuki akayahamishie kwenye hips pesa si anazo
 
Umetujuaje aisee?? Shehe wangu Kipoozeo ana usemi wake kwamba heri mwanaume wa kibongo akutane na Simba anaweza kupona kuliko awe nyuma wa mwanamke mrembo mwenye mzigo huku nyuma unaotikisika akitembea, maana hutasalimika [emoji12][emoji134] kwa kweli ile minyama nyama ni khatari kubwa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shekhe kipoozeo ana hoja hapo
 
Macebrities wa Bongo wengi hawana exposure Wema yuko Bongo na wanaume wabongo wanapenda makalio yeye badala ya kutengeneza kalio likae vizuri kajikondesha mwili mzima mpaka traco aende US au Ulaya ndio atapata mabwana wa vishape hivyo.

Mange mjanja anajua US ni shape gani zinalipa , angalia nae Shishi babe siku ya wananchi day kachomekea flana tumbo kubwa hayo mafuta ya unene si aende Uturuki akayahamishie kwenye hips pesa si anazo
Wema kichwa Nazi wanaume wa ki africa wanapenda mizigo in shekhe kippoozeo voice yeye anajikondesha ka sindano loh, hata wazungu sikuhizi Wana botch nakujiwekea makalio loh.
Huyo shishi ndio usiseme amekuwa na mwili likubwa ka big show mvuto hamna na yeye star mvuto humata sana si akafanye liposuction huko turkey yeye amebaki kutukana mashabiki
 
Fred hela ipo nyie aisee,,
Kuna wadau wangu wananiambia fred kapenda vbya na anasmamia show zote humuambi kitu kwa jojo.
Alaf wanaendana tu .
Fred amepanga msururu wa wanawake hadi kuna demu flani mwenye hips wa chugga anapiga kawaida, so the list is long, Jojo kafa kaoza na huenda dukani sinza na vimau alipeleka vya birthday kwa Price breaker
 
Fred mzigo upo na bado yank yank lazma apite nao t aisee.
Ila kwa jojo nafkiri yupo yupo sana nambiwa sm inaita muda wote,
Sjui kapewa nini na mh,
..
 
Fred mzigo upo na bado yank yank lazma apite nao t aisee.
Ila kwa jojo nafkiri yupo yupo sana nambiwa sm inaita muda wote,
Sjui kapewa nini na mh,
..
Alienda kwa Jojo kwa hasira tu yule kipindi kagombana na mobeto na yeye ana enjoy umaarufu kuoa ni ngumu yeye yuko bussiness oriented atawatumia wote awaache.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom