Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

Nawewe ukaibeba kutuletea huku.

Aliekwambia simba inatatizo la uwekezaj nan?

Sio kila habari ni habari, media zingne hawazingatii credibility.
 
Nitajie kampuni ya kihindi iliyowekeza kwenye mpira
Brackburn Rovers, QPR, Racing satender, zote hizo zinamilikiwa na wahindi?
Nimelazimika kukujibu tu! Ila uwa sijibu wajinga! MO kama mwekezaji kila mwaka anatoa b 2.4 kutokana na makubaliano ya uwekezaji! Yeye kosa lake ni nini?
Simbasc inapata fedha kutoka M-bett, NBC, Azam tv, A-one products, MO investment, Caf, pesa kutoka kwenye majengo kariakoo, gate collection, TBL prisner lager, Simba app, pesa za wanachama! Crdb, n.k pesa zote hizo hamjaoji Salim Abdala try again,Mangungu na kajula wanazitumiaje mnakuja kumlaumu MO ambae anatimiza wajibu wake wa kutoa pesa?
 
Mkuu kama tunachukua Yanga kama reference naomba orodhesha wawekezaji watatu wa Yanga, najua GSM,hao wengine ni kina nani?
Yanga bado haijaanza mchakato wa kuuza hisa, watakapoanza tutawajua maana wamesema zoezi litakuwa la uwazi. Si lazima.wawe watatu , wanaweza kuwa zaidi ya watatu maana Sheria inasemaje wasipungue watatu.
 
Brackburn Rovers, QPR, Racing satender, zote hizo zinamilikiwa na wahindi?
Nimelazimika kukujibu tu! Ila uwa sijibu wajinga! MO kama mwekezaji kila mwaka anatoa b 2.4 kutokana na makubaliano ya uwekezaji! Yeye kosa lake ni nini?
Simbasc inapata fedha kutoka M-bett, NBC, Azam tv, A-one products, MO investment, Caf, pesa kutoka kwenye majengo kariakoo, gate collection, TBL prisner lager, Simba app, pesa za wanachama! Crdb, n.k pesa zote hizo hamjaoji Salim Abdala try again,Mangungu na kajula wanazitumiaje mnakuja kumlaumu MO ambae anatimiza wajibu wake wa kutoa pesa?
Unajua hiyo 2.4.bilioni inatokea wapi, ni pesa aliyosema amenunua hisa.. hizo pesa sio anatoa Bali ni za Simba kutokana na kuuza hisa Kama hatukubali ni za Simba Basi moja bado hajalipia hisa 49
 
luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
Aliongea kwa hisia sana na alidhamiria na kujipanga,je kuna watu wa uhakika kuweka mpunga kwa simba?
 
Kweli wewe ni blender kabisa, yaani wewe ndio mjinga kabisa
Mo na yanga wapi na wapi
Watu Wana mu underestimate mwinyi Sr Ila ukweli , ni waambie ukweli mwinyi Sr ndio master of Craft, huyo jk ni mwanafunzi Tu 😂 kwake
 
Na vipi kuhusu wachezaji (wazee na wale wenye mchango mdogo kwenye timu), Mangungu na Try Again! Hawa nao hawahusiki?
First stage ya organisation ni watu wanaohusika na daily operations ambao ni operation management hawa ndio wakuanza nao mbona before uongozi huu team ilikua inafanya vzr so for me mangungu and try again wasepe Magori or Babra warejee kuna watu wa mpira niwazuri sn ila hawa viongozi waliingia kwakuhonga wkt wa uchaguzi
 
Mtu Alisha inunua timu miaka 5 iliyopita na mpaka Sasa anasema ameshatumia zaidi ya bilioni 55 ukiacha billion 20 za uwekezaji alafu anatokea mpuuzi mmoja anasema aondoke!!
Hii Nchi inavituko
Anaweza kuidai Club ya Simba hiyo pesa kwa mfumo wa deni la riba.
Akaachia wawekezaji wengine waje wanunue hisa za club.
 
una amka tu huko na kitambi chako cha mihogo eti mo aachie timu hela zake alizotumia miaka yote tukiminya kitambi hicho zitatoka, biashara sio faida tu bichwa wewe kutoka clouds, simba hakuna shida ya pesa, shida ni mfumo wa kutoka kwenye matokea mabovu konyo wewe kuna clubs kubwa huko duniani pesa wanazo lakini matokeo mabaya yapo pale pale, ingekua kuna wachezaji wanatembeza bakuli mtaani kutoka simba hapo sawa yaani matokeo tu unaleta utopolo wako hapa.
 
Kwangu mi naona hili suala la kumlaumu mo kwa kila jambo halina afya njema. Hatutaki turudi kule tulipotoka wakati Mhina Kaduguda anatoa pesa zake mkononi kununua Maharage na Chapati kwa ajili ya wachezaji wapate kifungua kinywa asubuhi. Muacheni Mo kwa ajili ya ukuaji wa soka letu.
Hilo soka letu linakua au linadidimia?
 
sasa leo luambano kasema ana part 2 ataitoa hivi karibuni kueleza jinsi ambavyo MO ni chupli
basi tu wengi wana akili za kichawa za kuogopa pale tajiri anapokosolewa. Ila kuhusu Mo watu wa mpira tulishamshtukia kitambo kua ni janja janja. Anafanya mambo ya hadaa hadaa kudanganya wanasimba. Simba inapaswa tu kuweka mfumo mzuri wa wakezaji, haiwezi kosa mwekezaji. Dunia hii wawekezaji ni wengi sana. Hata sisi Yanga angewekeza Manji, tungekua na shida hii hii sababu yule manji hulka zake ni sawa na Mo.
 
Wachezaji hawalipwi mishahara?
Team imekosa nauli?
Wachezaji wanalipwa posho zao?
Kuna mchezaji amehitajika fedha ikawa kikwazo?
Ni nani anayesajiri wachezaji?
Ni nani aliyemsajiri Misomisondo?
Misomisondo mbona hatumuoni akicheza?
Hivi kwenye hizi match za marudiano kati ya Mkude na Sarr ni nani alicheza vizuri ijapo walikuwa viwanja viwili tofauti?

Wenzenu walimsajiri mtu eti kwa ajili ya kukela watu,tff wakamfungia kutokana sijui na kuwa na kinywa kichafu vile lkn hata waliomsajiri imewasaidia kwani nafasi wakamleta Zoazoa,Kwasi na wengineo,ninyi mnamleta Dj ili akacheze nafasi gani?
 
Embu kaa kimya mkuu, hakuna kuwaamsha watu usingizini. Walitutesa sana kwa miaka minne hawa, acha na wao waonje joto ya jiwe.
Ndugu una roho mbaya sana.....unataka sisi lunyasi tuendelee kuteseka?
 
Unajua hiyo 2.4.bilioni inatokea wapi, ni pesa aliyosema amenunua hisa.. hizo pesa sio anatoa Bali ni za Simba kutokana na kuuza hisa Kama hatukubali ni za Simba Basi moja bado hajalipia hisa 49
Tatizo liko wapi kwake! Yeye ametimiza wajibu wake! Nioneshe kosa lake? Baba yako amekulipia kila kitu shuleni mwisho wa siku unaleta ziro nyumbani! Ni kosa lako au la baba yako?
Elewa MO ni muekezaji! Mwekezaji yeyote anataka faida! Amewekeza Simba ili apate profit return! na anatoa pesa kadili ya makubaliano! Nyie wengine mnatimiza majukumu yenu?!

Viongozi wenu wanatimiza wajibu wao? Au wamekaa tu wanasubili pesa za MO zije wazitafune kwa kufanya ujanja wa kupata 10% ? Akija mwekezaji mwingine wakina Kajura,try again Abdala,na Mangungu ndio watatimiza wajibu wao vizuri?

Watanzania mmezoea na kulemazwa na ujamaa,mnapenda wengine wawajibike kwenye furaha yenu bila nyinyi kuwajibika kwa lolote
 
Nyie ni chawa mnaolipwa na.mo.kumtetea mitandaoni, ishu ni kuhusu uwekezaji wa mo Simba lakini mapovu yanavyokutoka utafikiri ni nyumba yake ndogo.
 
Back
Top Bottom