Kigoma Region Tanzania
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 230
- 611
Asilimia kubwa ya wanawake katika kijiji hichi ni weupe na wazuri kimaumbile, japokuwa eneo hili lina mchanganyiko wa makabila ya kimanyema na kiha.
Pia kuna wanawake wafanyabiashara kutoka nchini Congo na Burundi kwasababu ni eneo linalo tegemewa kwa uvuvi wa samaki na dagaa.
Nyumba ni za nyasi, na vyoo vyake vipo nje, na kila choo lazima kiwe na kufuli kwa maana wanawake wa hapa ni wasafi sana na hawapendi kuchangia vyoo na watu wasio wafahamu. Na wengi wao ni wapole sana.
Maeneo mengi Kijiji hichi kimezungukwa na mawe na milima, pia kipo mwambao wa ziwa Tanganyika.
Lubengela kigoma Kusini, Wilaya ya Uvinza, Mwambao wa ziwa Tanganyika, kuna ardhi nzuri yenye kidongo cheupe. Katika kijiji hichi kuna eneo linaitwa Mbinguni.
Mikondo ya miamba ya Maswa Point iko kati ya vijiji vya Kirando na Lubengela.
Karibuni Kigoma, Karibuni Magharibi mwa Tanzania