masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Hujaonyesha hata picha moja ya hao wanawake weupe wazuri wa kijiji chako.Asilimia kubwa ya wanawake katika kijiji hichi ni weupe na wazuri kimaumbile, japokuwa eneo hili lina mchanganyiko wa makabila ya kimanyema na kiha.
Pia kuna wanawake wafanyabiashara kutoka nchini Congo na Burundi kwasababu ni eneo linalo tegemewa kwa uvuvi wa samaki na dagaa.
View attachment 2367668
Nyumba ni za nyasi, na vyoo vyake vipo nje, na kila choo lazima kiwe na kufuli kwa maana wanawake wa hapa ni wasafi sana na hawapendi kuchangia vyoo na watu wasio wafahamu. Na wengi wao ni wapole sana.
View attachment 2367682
Maeneo mengi Kijiji hichi kimezungukwa na mawe na milima, pia kipo mwambao wa ziwa Tanganyika.
View attachment 2367679
Lubengela kigoma Kusini, Wilaya ya Uvinza, Mwambao wa ziwa Tanganyika, kuna ardhi nzuri yenye kidongo cheupe. Katika kijiji hichi kuna eneo linaitwa Mbinguni.
View attachment 2367674
Mikondo ya miamba ya Maswa Point iko kati ya vijiji vya Kirando na Lubengela.
View attachment 2367678
Karibuni Kigoma, Karibuni Magharibi mwa Tanzania
Usituuzie mbuzi kwenye kiroba.