Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Kaanza vizuri kwa kichwa cha habari cha kuvutia lakini kwenye maudhui katuuzia mbuzi kwenye gunia.Badala utuoneshe hao wanawake unatuonesha nyumba za nyasi na boti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaanza vizuri kwa kichwa cha habari cha kuvutia lakini kwenye maudhui katuuzia mbuzi kwenye gunia.Badala utuoneshe hao wanawake unatuonesha nyumba za nyasi na boti
Tanga ni special case aiseeehTatizo wamekomaaaa
Singida Tanga Zanzibar Arusha Moshi Dar wanawake weupe wazuri kwa muonekana wapo huku sio huko unakosema wewe…
Mulyabhibhi Lazima Hiyo Pisi Itakuwa Inatokea KatotoMkuu umenikumbusha Mliya bibi. Kuna pisi moja ya Kitusi alikuwa anaitwa ANNA alikuwa anaishi mwambaoni mwa mto malagarasi maeneo ya mliyabibi na wazazi wake. Nilitakaga kumuiba, asee yaani mali ile inaishia kuchakazwa na mavi ya ng'ombe. Haki tena yule demu ningemleta mjini niwingekuwa na utulivu. Yaani pisi hasa, white, wa wastan, mrefu afu ana shape flani inayoendana na mwili wake. Ana mwili laini sana yaani, dah.
Nilisikitika sana nilipoambiwa kuna bwege mmoja kalipa ng'ombe 50 kaondoka naye.
Yaani yule nilikuwa nasubiri nimalize mradi nisepe naye., sema ndo hivo tena.
Ila kigoma, kuna mali nyingi sana sema tu zinamezwa na mavi ya ng'ombe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Daah! Usingeuliza hili swali, nisingejua kumbe kuna solar panels. Mimi macho yangu yalianza kuangukia kwa huu " msambwanda" wenye ukubwa wa wastani😊😊😊Izo solar kazi yake nn
Unauza Kijiji kwa Bandiko la kuvutia anasa. Ati Wanawake weupe!Asilimia kubwa ya wanawake katika kijiji hichi ni weupe na wazuri kimaumbile, japokuwa eneo hili lina mchanganyiko wa makabila ya kimanyema na kiha.
Pia kuna wanawake wafanyabiashara kutoka nchini Congo na Burundi kwasababu ni eneo linalo tegemewa kwa uvuvi wa samaki na dagaa.
View attachment 2367668
Nyumba ni za nyasi, na vyoo vyake vipo nje, na kila choo lazima kiwe na kufuli kwa maana wanawake wa hapa ni wasafi sana na hawapendi kuchangia vyoo na watu wasio wafahamu. Na wengi wao ni wapole sana.
View attachment 2367682
Maeneo mengi Kijiji hichi kimezungukwa na mawe na milima, pia kipo mwambao wa ziwa Tanganyika.
View attachment 2367679
Lubengela kigoma Kusini, Wilaya ya Uvinza, Mwambao wa ziwa Tanganyika, kuna ardhi nzuri yenye kidongo cheupe. Katika kijiji hichi kuna eneo linaitwa Mbinguni.
View attachment 2367674
Mikondo ya miamba ya Maswa Point iko kati ya vijiji vya Kirando na Lubengela.
View attachment 2367678
Karibuni Kigoma, Karibuni Magharibi mwa Tanzania
Usjie hata siku moja ukajidanganya ukamtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini hapo itakua umewafungulia wana goli watakula mzigo etc..mali za aina hio unatakiwa uzile huko huko au labda ukutane nayo mjini lakini sio ya ku export au kuimport...Kigoma kuna kijiji kinaitwa Nyarubanda a.k.a utusini aisee watoto wa kitutsi ndo wamemwagwa hapo...fullu warembo....Mkuu umenikumbusha Mliya bibi. Kuna pisi moja ya Kitusi alikuwa anaitwa ANNA alikuwa anaishi mwambaoni mwa mto malagarasi maeneo ya mliyabibi na wazazi wake. Nilitakaga kumuiba, asee yaani mali ile inaishia kuchakazwa na mavi ya ng'ombe. Haki tena yule demu ningemleta mjini niwingekuwa na utulivu. Yaani pisi hasa, white, wa wastan, mrefu afu ana shape flani inayoendana na mwili wake. Ana mwili laini sana yaani, dah.
Nilisikitika sana nilipoambiwa kuna bwege mmoja kalipa ng'ombe 50 kaondoka naye.
Yaani yule nilikuwa nasubiri nimalize mradi nisepe naye., sema ndo hivo tena.
Ila kigoma, kuna mali nyingi sana sema tu zinamezwa na mavi ya ng'ombe.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Picha za wadada weupe zipo wapi mbona kichwa cha habari hakiendani na ulichoandika.Asilimia kubwa ya wanawake katika kijiji hichi ni weupe na wazuri kimaumbile, japokuwa eneo hili lina mchanganyiko wa makabila ya kimanyema na kiha.
Pia kuna wanawake wafanyabiashara kutoka nchini Congo na Burundi kwasababu ni eneo linalo tegemewa kwa uvuvi wa samaki na dagaa.
View attachment 2367668
Nyumba ni za nyasi, na vyoo vyake vipo nje, na kila choo lazima kiwe na kufuli kwa maana wanawake wa hapa ni wasafi sana na hawapendi kuchangia vyoo na watu wasio wafahamu. Na wengi wao ni wapole sana.
View attachment 2367682
Maeneo mengi Kijiji hichi kimezungukwa na mawe na milima, pia kipo mwambao wa ziwa Tanganyika.
View attachment 2367679
Lubengela kigoma Kusini, Wilaya ya Uvinza, Mwambao wa ziwa Tanganyika, kuna ardhi nzuri yenye kidongo cheupe. Katika kijiji hichi kuna eneo linaitwa Mbinguni.
View attachment 2367674
Mikondo ya miamba ya Maswa Point iko kati ya vijiji vya Kirando na Lubengela.
View attachment 2367678
Karibuni Kigoma, Karibuni Magharibi mwa Tanzania
Kwenye picha hao wanawake weupe, wazuri hawaonekani kabisa.Asilimia kubwa ya wanawake katika kijiji hichi ni weupe na wazuri kimaumbile, japokuwa eneo hili lina mchanganyiko wa makabila ya kimanyema na kiha.
Pia kuna wanawake wafanyabiashara kutoka nchini Congo na Burundi kwasababu ni eneo linalo tegemewa kwa uvuvi wa samaki na dagaa.
View attachment 2367668
Nyumba ni za nyasi, na vyoo vyake vipo nje, na kila choo lazima kiwe na kufuli kwa maana wanawake wa hapa ni wasafi sana na hawapendi kuchangia vyoo na watu wasio wafahamu. Na wengi wao ni wapole sana.
View attachment 2367682
Maeneo mengi Kijiji hichi kimezungukwa na mawe na milima, pia kipo mwambao wa ziwa Tanganyika.
View attachment 2367679
Lubengela kigoma Kusini, Wilaya ya Uvinza, Mwambao wa ziwa Tanganyika, kuna ardhi nzuri yenye kidongo cheupe. Katika kijiji hichi kuna eneo linaitwa Mbinguni.
View attachment 2367674
Mikondo ya miamba ya Maswa Point iko kati ya vijiji vya Kirando na Lubengela.
View attachment 2367678
Karibuni Kigoma, Karibuni Magharibi mwa Tanzania
Uzi bila picha = uchaguzi huru bila Katiba mpya!Usjie hata siku moja ukajidanganya ukamtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini hapo itakua umewafungulia wana goli watakula mzigo etc..mali za aina hio unatakiwa uzile huko huko au labda ukutane nayo mjini lakini sio ya ku export au kuimport...Kigoma kuna kijiji kinaitwa Nyarubanda a.k.a utusini aisee watoto wa kitutsi ndo wamemwagwa hapo...fullu warembo....