Lubengela village, Kigoma. Kijiji pekee chenye wanawake weupe na wazuri kwa muonekano

Kigoma Region Tanzania

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
230
Reaction score
611
Asilimia kubwa ya wanawake katika kijiji hichi ni weupe na wazuri kimaumbile, japokuwa eneo hili lina mchanganyiko wa makabila ya kimanyema na kiha.

Pia kuna wanawake wafanyabiashara kutoka nchini Congo na Burundi kwasababu ni eneo linalo tegemewa kwa uvuvi wa samaki na dagaa.





Nyumba ni za nyasi, na vyoo vyake vipo nje, na kila choo lazima kiwe na kufuli kwa maana wanawake wa hapa ni wasafi sana na hawapendi kuchangia vyoo na watu wasio wafahamu. Na wengi wao ni wapole sana.




Maeneo mengi Kijiji hichi kimezungukwa na mawe na milima, pia kipo mwambao wa ziwa Tanganyika.




Lubengela kigoma Kusini, Wilaya ya Uvinza, Mwambao wa ziwa Tanganyika, kuna ardhi nzuri yenye kidongo cheupe. Katika kijiji hichi kuna eneo linaitwa Mbinguni.



Mikondo ya miamba ya Maswa Point iko kati ya vijiji vya Kirando na Lubengela.



Karibuni Kigoma, Karibuni Magharibi mwa Tanzania
 
Umefika Katoto Wewe Hapo Jirani Na Daraja La JM Kikwete
Ukitoka Mpeta, Wapo Watusi Wamejitenga Mbugani Hao Wanaowana Wenyewe Kwa Wenyewe. Shughuli Zao Ni Ufugaji Nao Wana Hoja Hatari Sana



Hicho Kijiji Nadhani Nilikipita Ni Mwambao Kabla Hujafika Gombe
Ila Hayo Mambo Ya Njia Ya Maji Shida Sana
 
Unafanya kazi nzuri sana nakuahidi nitatembelea kigoma siku moja.
 
Huyo wa kwenye picha kivuli chake kizuri kuliko yeye, afu sio mweupe wala nn
 
Wewe jamaa unvekisifia tu hicho Kijiji! Maana hujaweka hata picha moja ya mwanamke mweupe! Zaidi tu umetuonesha baadhi ya wamama wauza/wanunuzi wa samaki wakiendelea na shughuli zao! Mbaya zaidi siyo weupe!!

Vipi kuna nyumba za wageni, ili tuje kuwashuhudia hao wanawake weupe, wazuri kimaumbile, na wasafi? Siyo tunakuja huko halafu mnaenda kutulaza kwenye mitumbwi huko ziwani.
 
Mkuu umenikumbusha Mliya bibi. Kuna pisi moja ya Kitusi alikuwa anaitwa ANNA alikuwa anaishi mwambaoni mwa mto malagarasi maeneo ya mliyabibi na wazazi wake. Nilitakaga kumuiba, asee yaani mali ile inaishia kuchakazwa na mavi ya ng'ombe. Haki tena yule demu ningemleta mjini niwingekuwa na utulivu. Yaani pisi hasa, white, wa wastan, mrefu afu ana shape flani inayoendana na mwili wake. Ana mwili laini sana yaani, dah.
Nilisikitika sana nilipoambiwa kuna bwege mmoja kalipa ng'ombe 50 kaondoka naye.

Yaani yule nilikuwa nasubiri nimalize mradi nisepe naye., sema ndo hivo tena.

Ila kigoma, kuna mali nyingi sana sema tu zinamezwa na mavi ya ng'ombe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…