Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Magufuli ni jembe la uhakika. Tuachane na hawa wanywaviroba wa tanzania kazi ni kulopoka lopoka tu eti magufuli hafai.
huwa uongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa hugeuka na kuonekana ukweli lakini mwisho wa siku athali itakayopatikana huwa mbaya zaidi kuliko ulivyo uongo wenyewe,kwa mfano uuchukue muhogo mchungu kisha ukauchemsha ukachukua icingsugar ukaiweka juu na kuupamba mithili ya keki watu wengi watafikili ni keki isipokuwa watu wasioila wataitamani na kusema keki ile tamu sana lakini wale waliokula ndio wanajua kuwa ile ni keki au wamefanyiwa kanyaboya cha muhimu sisi tuliokula ndio tunajua kuwa hii keki au muhogo mchungu uliolembwa,Uongo ni uongo na utabaki kuwa uongo hata uusifie vipi
 

Tatizo vyombo vya habari vimezuiwa kumwelezea uhalisia wake. Vinavyomsema vimetakiwa kumpamba tu kwa hiyo "HAWAMFAHAMU". PERIOD!
 
Kajichora jina sawa, je amekiri kiwa hilo neno ni jina la mh wetu.. Isijekuwa ina maana nyingine huko..

Angechora sura au akikiri kiwa juyo ni mh wetu itakuwa safi zaid.
Kuna kitu kilisambaa dunia nzima "hash tag what would Magufuli do?" naona ulipitwa ndugu
 
Hii picha ina ukakasi, mbona sura imefichwa! Uso hauonekani kuthibitisha kuwa ni Las laciano,
Kuonyesha tu kifua ni udhaifu mkubwa na uklaza,..
 
Wala hailekei kwamba una access na Luciano kwahiyo chochote toka kwake lazima ukipate toka kwenye public domain. Tuwekee link ya ulikoitoa hiyo picha tafadhali!!!
 
Hatishwi na ya mpito bali ya muda mrefu [emoji134] [emoji134] [emoji134] HATUFAI
Kiongozi yeyote anayetishika ni janga
 
Mafisadi Chadema inawaumaa lkn moyoni wanakubali mziki wa magufuli kiaina
 
Its me against jah!????.......Huyu atakuwa freemanson huyu![emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…