Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Unanitia kichefuchefu!Rais wetu ni NURU YAGAA GIZANI. ..UBARIKIWE JPJM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanitia kichefuchefu!Rais wetu ni NURU YAGAA GIZANI. ..UBARIKIWE JPJM
huwa uongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa hugeuka na kuonekana ukweli lakini mwisho wa siku athali itakayopatikana huwa mbaya zaidi kuliko ulivyo uongo wenyewe,kwa mfano uuchukue muhogo mchungu kisha ukauchemsha ukachukua icingsugar ukaiweka juu na kuupamba mithili ya keki watu wengi watafikili ni keki isipokuwa watu wasioila wataitamani na kusema keki ile tamu sana lakini wale waliokula ndio wanajua kuwa ile ni keki au wamefanyiwa kanyaboya cha muhimu sisi tuliokula ndio tunajua kuwa hii keki au muhogo mchungu uliolembwa,Uongo ni uongo na utabaki kuwa uongo hata uusifie vipiMagufuli ni jembe la uhakika. Tuachane na hawa wanywaviroba wa tanzania kazi ni kulopoka lopoka tu eti magufuli hafai.
Mwanamziki wa Jamaica las laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania mh , John Magufuli
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya mda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika ,
Kuna kitu kilisambaa dunia nzima "hash tag what would Magufuli do?" naona ulipitwa nduguKajichora jina sawa, je amekiri kiwa hilo neno ni jina la mh wetu.. Isijekuwa ina maana nyingine huko..
Angechora sura au akikiri kiwa juyo ni mh wetu itakuwa safi zaid.
Hii picha ina ukakasi, mbona sura imefichwa! Uso hauonekani kuthibitisha kuwa ni Las laciano,Mwanamziki wa Jamaica las laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania mh , John Magufuli
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya mda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika ,
Huyu mwanamuziki anajitambua na daima tukumbuke kuwa nabii kamwe haheshimiki nyumbani kwake!
Hatishwi na ya mpito bali ya muda mrefu [emoji134] [emoji134] [emoji134] HATUFAIMwanamziki wa Jamaica las laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania mh , John Magufuli
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya mda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika ,
Jua kuwa kifaacho wewe sio kifaacho mimiMagufuli ni jembe la uhakika. Tuachane na hawa wanywaviroba wa tanzania kazi ni kulopoka lopoka tu eti magufuli hafai.
Bora bhana ili kama vipi na hapa Bongo iwe "legalized" tupate morali tuchore tattoos za Magu
Its me against jah!????.......Huyu atakuwa freemanson huyu![emoji15]Mwanamziki wa Jamaica las laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania mh , John Magufuli