Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.

Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.

View attachment 400403

Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.
MBONA HAMNA SURA, AU MWNAMUZIKI WA KEKO....
 
Ka ni kule Jamaica, hilo neno laweza kuwa na maana nyingine kabisa. Lakini, nadhani ni kifua cha njemba moja ya hapo Kkoo imeamua tu kujichora kwa unga wa betri "Tigerhead" ili kuukwaa U dc.
 
Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.

Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.

View attachment 400403

Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.
Mleta mada bora upgwe lisas ya bichwa kwa kdanganya UMA[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]
 
Mtoa mada ni muongo yaani anapotosha jamii yote kwa buku 7 tu.,duh vijana wa lumunba wana moyo.,!
 
Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.

Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.

View attachment 400403

Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.

Kiki kwakwenda mbele cyo picha yake
 
Back
Top Bottom