Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

Rasta na bangi nikitu kimoja marasta wanaamini bangi ni saktamenti. Dube alikuwa anavuta bangi kwa siri akiwaona marasta wakweli wanao vuta anawaponda.. Kumbuka mentor wake alikuw Peter Tosh na Tosh siku zote alitaka bangi ialalishwa dunia nzima.
Please, jaribu kutulia ndugu yangu.
 
Hakuwahi kuwaita rasta was bongo wachafu au wananuka, Lucky dube hakuwa mtu was maneno mbofumbofu kama hiyo.

Na hajawahi kuhusika na kumuua Senzo.
 
Katika album yake ya mwisho kibao cha You are the One huwa kinanikosha sana amekiimba kwa hisia kali sana
 
True hafu kwenye shoo alikua anaimba kwa hisia hadi analia kabisa. Kwakweli huyu ni msanii wangu 1 wa reggae.
Nataka nami niache Legacy hapa duniani watu wanikumbuke kwa mazuri
Ile sauti ya kifo imekuachia
 
Daughter of Legendary Lucky Philip Dube, Nkulee Dube, live at Rebel Salute 2018


 
Nkulee Dube 'Back To My Roots' - Reggae On The River August 5, 2017

 
Am happy for you why nichukie nilijisikia vibaya sana na ule uzi wako. Mungu ni mwema
Naam Mungu wetu wa ajabu sana. Nimejifunza kufa ni kidogo sana labda Mungu awe hajapanga
 
Ding Ding Licky Licky Licky Bong Lyrics


Ding Ding Licky Licky Licky Bong
It seems like it only happened yesterday
Now that I think about it
Tears cannot bring you joy
But joy can bring you tears
Even though I cry today
I will not hide it
It is for a different reason - joy
That is why I'll shout it out
For the world to hear
I say hello, hello happiness
Oh Jah, thank you
For another day, I say

Chorus
Ding ding licky licky licky bong (x3)

Another tear drop falls
But I don't care
I took a wrong turn in life before
But I've paid my dues
Objects in the rear view mirror
They appear closer than they are
If you don't talk the talk
Don't walk the walk
If you won't please, don't tease
Another lesson learned
I'm gonna shout it out again
Hello, hello happiness
Oh God, thank you
For another chance
There is no future in the past
So shout it out...


 


Lucky Dube, Ding Ding Licky Licky Bong Live in Uganda 2003, but I'm still dancing it today...


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…