Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,333
Dini zote? halafu hizo "dini zote" ni uisilamu na ukristo tu?Dini zote Uislamu na ukristo zinapinga vikali kuwepo kwa Ushoga
"Kupinga vikali" ndio kukoje?Dini zote Uislamu na ukristo zinapinga vikali kuwepo kwa ushoga
Kama unacho cha kuongezea Ongeza wala sitakupinga..Dini zote? halafu hizo "dini zote" ni uisilamu na ukristo tu?
Na je kama hauna dini? Ruksa kuwa shoga sio?
Hii ni social platform, lazima uwajibike kwa unayowaandikia maelfu ya watu.Kama unacho cha kuongezea Ongeza wala sitakupinga..
Mimi nimeandika mawazo yangu,wewe pia andika yako vile utavyoona inafaa.
Asante
Wambea tu wamezusha.aah sasa naona Civilians wanasema kaoz** ndumku malanini.
Ipo boss lakini nimejaribu imegomaKagua kwanza kama keyboard yako ina button ya Print screen. Kama haina nitakueleza comand nyingine
Kumbuka uncle K ana b8ashara zake miaka na miaka tangu China,hawa wanajiuza ili waweze kuishi.At the end of the day we all gonna die, au ulijua bando lako halichachi, [emoji38]
Niwajibike kwa nani!??Ni labda huelewi ama unajifanya huelewi?Jf haikatazi mawazo ya mtu nami nimetoa ya kwanguHii ni social platform, lazima uwajibike kwa unayowaandikia maelfu ya watu.
Huwezi tu kuandika kama unawamwagia kuku pumba za alizeti!
Ndio nakuuliza weye, je wasio na dini ruksa kuwa mashoga?
Woooooh samahani sana mkuu kwa usumbufu..Ipo boss lakini nimejaribu imegomaView attachment 1547885
Ipo boss lakini nimejaribu imegomaView attachment 1547885
Poa nimeiona,imekubaliTafuta key iliyoandikwa fn kwa maandishi ya orange halafu ubonyeza pamoja na hiyo prnt scrn
Wanaharakati wa beijing si ndio mnaileta hii kitu..... Na mkielezwa hapa mishipa inawakakamaa..... Halafu kwenye nyuzi kama hizi mnakunja kutoa maneno ya hekima..... DuhNdio maana hata vitabu vitakatifu vilikataza hyo kitu, chakusikitisha huyu lucky madanga yake yote yalimsusa na ndugu hawajulikani
Dah!!!Siyo kufanya tu bila lubricant.
Ni kwamba hawa wassenge wanashare sana wanaume.
Wana share mno.
Na huwa wana maisha magumu mno mwenzake akiopoa danga yupo radhi afanye juu chini na yeye awe nae.
Kingine wanapenda starehe za kijinga.
Mtu anaenda bar anataka kunywa heineken sijui castle light wakati hata hela ya kununua maji ya uhai hana kakinunuliwa bia kadhaa anainamishwa kwenye uchochoro.
Ndio nakuuliza wewe uliyeleta mambo ya dini ukidhani watu wote wanaishi kwenye hiyo dunia yako finyu!Wapi nimesema wasio na dini wafanye Ushoga!??
Ok shukran ,much thanksWoooooh samahani sana mkuu kwa usumbufu..
Nimekosea hata mm hua najichanganya sana..
Press
Window button +prnt
Then yo done
Umecomment upuuziAt the end of the day we all gonna die, au ulijua bando lako halichachi, [emoji38]
Nisamehe mimi Mkuu kama nimekukosea kwenye maandishi yangu,Pale unapoona nimekosea nivumilie tu ndio ubinadamu huo.Ndio nakuuliza wewe uliyeleta mambo ya dini ukidhani watu wote wanaishi kwenye hiyo dunia yako finyu!
Jieleze ulikuwa unamaanisha nini haswa?
Mnameza meza tu vitu msivyovielewa! Ukiambiwa ujipambanue unabung'aa kama beberu mwenye pepopunda!
Jipambanue!!! Unaandika andika tu hovyo hovyo!
Mwanaume huyo....Mbona ana mdomo wa kuliwa mate kabisa sio mwanaume bana acheni uwongo.
Naomba uniletee bandiko la Beijing platform of action linalohusu ushoga, au weka comments yangu yoyote ninayo support hyo kitu, na pia kwa Nini Mimi niumie kwa mtu kumtumia mwili wake atakavyo, I mind my own bussiness.Wanaharakati wa beijing si ndio mnaileta hii kitu..... Na mkielezwa hapa mishipa inawakakamaa..... Halafu kwenye nyuzi kama hizi mnakunja kutoa maneno ya hekima..... Duh