Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Kama unacho cha kuongezea Ongeza wala sitakupinga..

Mimi nimeandika mawazo yangu,wewe pia andika yako vile utavyoona inafaa.

Asante
Hii ni social platform, lazima uwajibike kwa unayowaandikia maelfu ya watu.

Huwezi tu kuandika kama unawamwagia kuku pumba za alizeti halafu unakimbia hovyo hovyo!

Ndio nakuuliza weye, je wasio na dini ruksa kuwa mashoga?
 
Kagua kwanza kama keyboard yako ina button ya Print screen. Kama haina nitakueleza comand nyingine
Ipo boss lakini nimejaribu imegoma
IMG_20200825_192731_894.jpg
 
Hii ni social platform, lazima uwajibike kwa unayowaandikia maelfu ya watu.

Huwezi tu kuandika kama unawamwagia kuku pumba za alizeti!

Ndio nakuuliza weye, je wasio na dini ruksa kuwa mashoga?
Niwajibike kwa nani!??Ni labda huelewi ama unajifanya huelewi?Jf haikatazi mawazo ya mtu nami nimetoa ya kwangu
Kama unayo ya kwako unaweza kuyatoa ..

Wapi nimesema wasio na dini wafanye Ushoga!??hebu onesha.
 
Ndio maana hata vitabu vitakatifu vilikataza hyo kitu, chakusikitisha huyu lucky madanga yake yote yalimsusa na ndugu hawajulikani
Wanaharakati wa beijing si ndio mnaileta hii kitu..... Na mkielezwa hapa mishipa inawakakamaa..... Halafu kwenye nyuzi kama hizi mnakunja kutoa maneno ya hekima..... Duh
 
Siyo kufanya tu bila lubricant.
Ni kwamba hawa wassenge wanashare sana wanaume.
Wana share mno.
Na huwa wana maisha magumu mno mwenzake akiopoa danga yupo radhi afanye juu chini na yeye awe nae.

Kingine wanapenda starehe za kijinga.
Mtu anaenda bar anataka kunywa heineken sijui castle light wakati hata hela ya kununua maji ya uhai hana kakinunuliwa bia kadhaa anainamishwa kwenye uchochoro.
Dah!!!

Too sad.
 
Wapi nimesema wasio na dini wafanye Ushoga!??
Ndio nakuuliza wewe uliyeleta mambo ya dini ukidhani watu wote wanaishi kwenye hiyo dunia yako finyu!

Jieleze ulikuwa unamaanisha nini haswa?

Mnameza meza tu vitu msivyovielewa, lakini ukiambiwa ujipambanue unabung'aa kama beberu mwenye pepopunda!

Jipambanue!!! Unaandika andika tu hovyo hovyo!
 
Ndio nakuuliza wewe uliyeleta mambo ya dini ukidhani watu wote wanaishi kwenye hiyo dunia yako finyu!

Jieleze ulikuwa unamaanisha nini haswa?

Mnameza meza tu vitu msivyovielewa! Ukiambiwa ujipambanue unabung'aa kama beberu mwenye pepopunda!

Jipambanue!!! Unaandika andika tu hovyo hovyo!
Nisamehe mimi Mkuu kama nimekukosea kwenye maandishi yangu,Pale unapoona nimekosea nivumilie tu ndio ubinadamu huo.
 
Wanaharakati wa beijing si ndio mnaileta hii kitu..... Na mkielezwa hapa mishipa inawakakamaa..... Halafu kwenye nyuzi kama hizi mnakunja kutoa maneno ya hekima..... Duh
Naomba uniletee bandiko la Beijing platform of action linalohusu ushoga, au weka comments yangu yoyote ninayo support hyo kitu, na pia kwa Nini Mimi niumie kwa mtu kumtumia mwili wake atakavyo, I mind my own bussiness.
So Beijing action haijataja lolote kuhusu ushoga labda taasisi za LG huko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom