Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Natamani nimuone beberu mwenye pepo punda anavyokua,
Daaah hapana, [emoji1316][emoji1787]
 
Kwahiyo wanaishi maisha ya wanawake makahaba?!
 
Mzee unatamani kuishi milele?
Hapana haiwezekani utakufa tu, utazikwa na kua chakula cha sisimizi, lol

Pepo mnaitaka lakini kifo mnakiogopa.
@Culture Me tuendelee na mdaharo
 
....................Wanaowaingilia hawa watoto wa watu wawe waliwaanza wao au waliwakuta wakiwa tayari wabovu wajue kwenye vizazi vyao lazima watatoka wanaofanya ujinga huo,hata kama hutoshuhudia kwa jicho lako lazima itatokea tu hata kizazi cha nne.

Ukweli tujiulize,wanawake wote hawa waliojaa leo ukamgeuze mtoto wa mtu kweli umfanye linalopaswa kufanywa kwa mwanamke tena kwa njia isiyofaa?ni hukumu gani wanaume tunaitafuta?maana kuzini siku hizi imekuwa siyo dhambi tena ila watu wame-advance kutoka kuzini kwa njia ya kawaida hadi kuingiza new version za yale yaliyosababisha dunia ikasimamishwa.
 
Hakuna tag hapo punguza kupanic vaa kanga uende kumzika mwenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipanic kwa kipi mie? Labda huwa unawaza unipanikishe na reactions huwa tofaut,
By the way hata nisipokwenda huyo marehemu atazikwa tyuuuh.
Enjoy life maadam, ni mafupi mnoo eti.
 
Darling acha kujibizana na watu wamekongoroka uso hata make ups hazikai, wanadhani wote wana maisha ya kuunga unga kama wao, lol

Enjoy your life to the fullest, be proud of yourself.
Dea wee acha tyuuuuh, mbaya zaidi hawana wanalolijua kwangu zaidi ya kunihusisha na tulizo la hisia zangu.

Kamwee siishi watakavyo, naishi nitakavyo. Naenjoy life n proud ma self.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…