Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Ndio nakuuliza wewe uliyeleta mambo ya dini ukidhani watu wote wanaishi kwenye hiyo dunia yako finyu!

Jieleze ulikuwa unamaanisha nini haswa?

Mnameza meza tu vitu msivyovielewa, lakini ukiambiwa ujipambanue unabung'aa kama beberu mwenye pepopunda!

Jipambanue!!! Unaandika andika tu hovyo hovyo!
Natamani nimuone beberu mwenye pepo punda anavyokua,
Daaah hapana, [emoji1316][emoji1787]
 
Siyo kufanya tu bila lubricant.
Ni kwamba hawa wassenge wanashare sana wanaume.
Wana share mno.
Na huwa wana maisha magumu mno mwenzake akiopoa danga yupo radhi afanye juu chini na yeye awe nae.

Kingine wanapenda starehe za kijinga.
Mtu anaenda bar anataka kunywa heineken sijui castle light wakati hata hela ya kununua maji ya uhai hana kakinunuliwa bia kadhaa anainamishwa kwenye uchochoro.
Kwahiyo wanaishi maisha ya wanawake makahaba?!
 
Mzee unatamani kuishi milele?
Hapana haiwezekani utakufa tu, utazikwa na kua chakula cha sisimizi, lol

Pepo mnaitaka lakini kifo mnakiogopa.
@Culture Me tuendelee na mdaharo
 
....................Wanaowaingilia hawa watoto wa watu wawe waliwaanza wao au waliwakuta wakiwa tayari wabovu wajue kwenye vizazi vyao lazima watatoka wanaofanya ujinga huo,hata kama hutoshuhudia kwa jicho lako lazima itatokea tu hata kizazi cha nne.

Ukweli tujiulize,wanawake wote hawa waliojaa leo ukamgeuze mtoto wa mtu kweli umfanye linalopaswa kufanywa kwa mwanamke tena kwa njia isiyofaa?ni hukumu gani wanaume tunaitafuta?maana kuzini siku hizi imekuwa siyo dhambi tena ila watu wame-advance kutoka kuzini kwa njia ya kawaida hadi kuingiza new version za yale yaliyosababisha dunia ikasimamishwa.
 
.
Screenshot_20200825-192410.jpg
 
Hakuna tag hapo punguza kupanic vaa kanga uende kumzika mwenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipanic kwa kipi mie? Labda huwa unawaza unipanikishe na reactions huwa tofaut,
By the way hata nisipokwenda huyo marehemu atazikwa tyuuuh.
Enjoy life maadam, ni mafupi mnoo eti.
 
Darling acha kujibizana na watu wamekongoroka uso hata make ups hazikai, wanadhani wote wana maisha ya kuunga unga kama wao, lol

Enjoy your life to the fullest, be proud of yourself.
Dea wee acha tyuuuuh, mbaya zaidi hawana wanalolijua kwangu zaidi ya kunihusisha na tulizo la hisia zangu.

Kamwee siishi watakavyo, naishi nitakavyo. Naenjoy life n proud ma self.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom