Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Natamani nimuone beberu mwenye pepo punda anavyokua,Ndio nakuuliza wewe uliyeleta mambo ya dini ukidhani watu wote wanaishi kwenye hiyo dunia yako finyu!
Jieleze ulikuwa unamaanisha nini haswa?
Mnameza meza tu vitu msivyovielewa, lakini ukiambiwa ujipambanue unabung'aa kama beberu mwenye pepopunda!
Jipambanue!!! Unaandika andika tu hovyo hovyo!
Daaah hapana, [emoji1316][emoji1787]