Lucy komba: Mapenzi ya wabongo wizi mtupu

Lucy komba: Mapenzi ya wabongo wizi mtupu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
usi komba.jpg

Msanii aliyefunga pingu za maisha juzikati na mwanaume mwenye asili ya Denmark , Janus Stanley Landrock , Lucy Komba amesema kadri siku zinavyozidi kwenda anazidi kunogewa na mapenzi ya mzungu wake na kuwaona Wabongo si lolote kutokana na kuwa waongo.

Msanii wa Bongo Muvi , Lucy Komba akiwa na mume wake mdenmark , Janus Stanley Landrock. Akieleza la rohoni mbele ya paparazi wetu, Lucy alisema anatamani angefahamiana mapema na mzungu huyo kuliko kuyumbishwa na mapenzi ya Kibongo ambayo yamejaa ahadi nyingi za uongo , tofauti na watu wa asili hiyo ambao wana msimamo mkubwa katika mapenzi .

"Nilipopataka siyo siri nimefika, kama ulaghai nishakumbana nao sana katika mapenzi ya Kibongo ambayo yalinikinaisha mno , lakini sasa sina mawazo kabisa katika haya mambo, wenzetu hawapendi kuchepuka hovyo akikupenda , anakupenda kweli ," alisema Lucy .
 
Hahaaahahaaaha tutakoma mwaka huu. I never expected Lucy to stoop this low!!!. Lucy mbona kuolewa kwako kumekufanya ujidhalilishe mno. Its as if umeolewa kutukomesha wakina sie. Embu tulia jamani, ndoa ni zaidi ya kuvaa shera na kuexchange wedding vows. Tulia na muombe Mungu aisimamie ndoa yako. Hivi siku ukiachika (God forbid) utaiweka wapi sura yako?? Please, just go back to your old-self. Ulikuwa unajiheshimu mno but now aaaah
 
Ndoa ya siku moja unaona umeula ! Abeg hujawajuaga wanaume wewe hawanaga rangi si black wala white , yaani unajishaua utadhani unafanya Annivesary ya Miaka 40 ya Ndoa ?? Kumbe siku 1 ..ama kweli ukishangaa ya Musa ............:coffee:
 
HIvi huyu lucy ana nini jamani, kuolewa ndio kuna mfanya aropoke hovyo tu utadhani kapandwa na maralia kichwani?
 
Jamani we mdada muombe Mungu aongoze ndoa yako stop speaking a lot ts too soon hata sie tumeolewa tena na wabongo hao hao na am enjoying my marriage cha msingi muombe Mungu haijilishi ni mzungu au mswahili kuwa makini dadangu usiseme Sana mshukuru Mungu kakupa mwenza kaa na mumeo b a good wife Kama yule mwanamke wa mithali 31 na uwe mwanamaombi Mungu akutangulie
 
Anaona amemaliza, wakati kesho haijui, pole yake!

Hahaaahahaaaha tutakoma mwaka huu. I never expected Lucy to stoop this low!!!. Lucy mbona kuolewa kwako kumekufanya ujidhalilishe mno. Its as if umeolewa kutukomesha wakina sie. Embu tulia jamani, ndoa ni zaidi ya kuvaa shera na kuexchange wedding vows. Tulia na muombe Mungu aisimamie ndoa yako. Hivi siku ukiachika (God forbid) utaiweka wapi sura yako?? Please, just go back to your old-self. Ulikuwa unajiheshimu mno but now aaaah
 
Hhheeeee halo ya mende kuvaa mkoti bila kufunga kishikizoooooooo
Harusi imepata mwenekeleeee
 
Na ndio kwanza hatumkomiii

Ndo maana watu wanamchamba sana, dada ana povu huyuuu utadhani kanywa Omo. Yani asingekuwa anaropoka hivi, watu wengi hata wasingemsema kuhusu alivyovaa n.k. But kwa anavyoropoka atachambwa tu zaidi. Ila me nikikumbuka ya kuzama na galaxy kwenye maji nakufa kuchekaaaaaaa
 
Hhhhaaaaaa utamuua warumi kwa kicheko ukimkumbusha simu nyeupe,shela jeupe.viatu vyeupe
 
Last edited by a moderator:
Anajiropokesha kila siku mume mwenyewe ptuuuu......ngoja nisiongee sana
 
Upele umepata mwenye kucha,keshawaona wa Bongo wanazingua eeh na ndio walomfunza maji asiite mma....
 
Hahaaahahaaaha tutakoma mwaka huu. I never expected Lucy to stoop this low!!!. Lucy mbona kuolewa kwako kumekufanya ujidhalilishe mno. Its as if umeolewa kutukomesha wakina sie. Embu tulia jamani, ndoa ni zaidi ya kuvaa shera na kuexchange wedding vows. Tulia na muombe Mungu aisimamie ndoa yako. Hivi siku ukiachika (God forbid) utaiweka wapi sura yako?? Please, just go back to your old-self. Ulikuwa unajiheshimu mno but now aaaah

yaani as if ni mtu ambae hajielewi
au aliambiwa hatoolewa
wha happened to her head after marriage?
mzungu huyoo ana nini wabongo wasicho nacho
wao si ndo kutwa kwao huko kuachana mtu anaolewa leo kesho anafile divorce
mpuuzi sana huyu
 
Atulie na huyo maana wote wanafanana. Wamekaa kicomedian... Sura zimejichokeaaa hadi huruma
 
Mmh hapana this is too much aisee. Naona alikuwa kapania kweli kuolewa ili tumkome

amkomeshe nani?!!!
nineolewa b4 yeye tena under 30 years sina habariii
tena ndoa ilikuja mlangoni wala si ya nyungu au kwa gwajima!!!
yeye tu na hashuo zake za mbaazi
 
Back
Top Bottom