Lucy Mkatoliki feki hajapigwa ni Muongo Angalia picha hii vizuri

GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.

Kwa nini nasema hajapigwa.

1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.

2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?

3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.

View attachment 3528719
Hakuna wanawake wanapenda mikorogo kama wanawake walio ccm
 
Na ukiwakuta bila makeup utafikiri vibwengo kama huyu Lucy (Lucas Mwashambwa)
FB_IMG_1768148636770.jpg
 
Huyu dada ana roho mbaya

Ole mwanaume atakayemwoa mwanamke kama huyi, atakuwa amejipa matrso ya ajabu.

Huyu abakie tu na huo ukahaba wake, aendelee kuwaibia wanaume anaokutano nao kwenye umalaya wake, lakini siyo mwanamke wa kutemgeneza familia.
 
GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.

Kwa nini nasema hajapigwa.

1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.

2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?

3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.

View attachment 3528719

Tena tutampiga tena mbwa huyu. Tumempa pesa anaenda kuongea nje ya script na anatetemeka? Mwana ccm kabisa jeshi anatetemeka? Ametudhalilisha wote tumeonekana hatuna akili. Asiseme pesa alishatumia. Tutamgonga mpaka atoe yeye na mama yake. Wameshindwa ku perform vizuri anaenda anakosea kosea hata anaanzisha mijadala ya kukibagaza chama. Huyu ametumika na TEC kutuharibia. Arudishe pesa zetu.
 
Hii taharuki nilijua ni mchezo tu. Ni kama lile igizo la baada ya Lisu kupigwa risasi, siku chache mbele likatengenezwa tukio kuwa kuna mwanajeshi mstaafu kapigwa risasi, na Magufuli akawa wa kwanza kwenda kumtembelea, lakini lengo ilikuwa ni kupotosha jamii.
 
GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.

Kwa nini nasema hajapigwa.

1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.

2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?

3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.

View attachment 3528719
Hii sura ya mcheza boikoko kabisa! Na ni kama kwa mpalange ni free zone.
 
na hiyo mitaa anayoishi ilivyo hatari muache aendelee kuchokoza wahuni ambao bado Wana hasira akidhani sisiem watamlinda
 
Back
Top Bottom