Lucy Mkatoliki feki hajapigwa ni Muongo Angalia picha hii vizuri

GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.

Kwa nini nasema hajapigwa.

1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.

2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?

3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.

View attachment 3528719

ITV wanafanya makosa sana kumpa coverage huyu malaya!!

ITV imekuwa ya ******* sana siku hizi
Hivi ITV huwa wanarusha kabisa maudhui kama haya au wanahudhuria tu ili kurekodi halafu wanakaa nayo?
 
Kwa jinsi alivyotumia sumu za DRC kuharibu ngozi yake angepigwa hapo angekua kama kachanjwa na wembe huyo pana kitu kapaka asituone wote matura tunaweza kudanganywa kijinga kajiharibu kwa mkorogo ahangaike na mambo yake..
Kabisa mkuu. Halafu amechaguza kufuwekea mkono support akidhani watu hawatagundua. Hapa kapaka kitu halafu mkorogo unafanya pawe pekundu. Hivi watu wanaotaka kweli kumshambulia wangempapasa namna hii. Halafu huko uswazi kuna watu wengi kweli na hakuna mashuhuda waliosikia anapiga kelele.
 
Tena saa tano asubuhi bora hata angesema saa tano usiku, huyu ukimwi umeshafika utosini hata hajielewi
 
Kwahiyo anaitetea ccm halafu anaishi kwenye hayo mabanda aisee kweli wajinga mtaji wa wajanja
 
H
GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.

Kwa nini nasema hajapigwa.

1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.

2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?

3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.

View attachment 3528719
Hii imekaa vizuri sana😂😂😂
 
Angalia vi
downloadfile-2.jpg

Director kakosea igizo halafu kokosea tena😂😂😂😂.

Back
Top Bottom