Lucy Mkatoliki feki hajapigwa ni Muongo Angalia picha hii vizuri

Walioinjinia mpango wa kulichafua kanisa katoliki wampe ulinzi hata wa vibaunsa viwili kumlinda, maana hata akipamiwa na mende atasema wakatoliki wamempiga, ni mshenzi sana huyu muhuni
 
na hiyo mitaa anayoishi ilivyo hatari muache aendelee kuchokoza wahuni ambao bado Wana hasira akidhani sisiem watamlinda
Nililisema hili toka awali kuwa sasa atakuwa na maisha magumu kwa kuwa nyie wakatoliki mtamuwinda na kumfanyia kitu kibaya na kuzingizia wengine. Mafya wakubwa nyie! Vikundi vya CHJADEMA vikishirikiana na Kitime mmeteka watu sana. 18 zetu ziko njiani. Mtamfuata Lissu aliko hko lupango.
 
GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.

Kwa nini nasema hajapigwa.

1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.

2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?

3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.

View attachment 3528719
Sura kama shetani
 
Nililisema hili toka awali kuwa sasa atakuwa na maisha magumu kwa kuwa nyie wakatoliki mtamuwinda na kumfanyia kitu kibaya na kuzingizia wengine. Mafya wakubwa nyie! Vikundi vya CHJADEMA vikishirikiana na Kitime mmeteka watu sana. 18 zetu ziko njiani. Mtamfuata Lissu aliko hko lupango.
Jino kwa jino!
 
Hakauna kipigo hapo, tazama hiyo miduara.

Afu wapigaji walenge macho tu,

Mashavu, masikia, mdomo, pua, mikono wala mgongo viwe salama?

Sawa, waache waendelee na drama.
Huyo Lucy inaonekana ni shamba darasa kama walivyo wenzake kule uvccm
 
Nililisema hili toka awali kuwa sasa atakuwa na maisha magumu kwa kuwa nyie wakatoliki mtamuwinda na kumfanyia kitu kibaya na kuzingizia wengine. Mafya wakubwa nyie! Vikundi vya CHJADEMA vikishirikiana na Kitime mmeteka watu sana. 18 zetu ziko njiani. Mtamfuata Lissu aliko hko lupango.
Nonsense...mmekuwa na roho ya uongo na chuki zisizo na msingi
 
Chuki tunazo sisi au nyie. Angalia mlivyomfanyia Lucy - mkatoliki mwenzenu, mpaka sura yake imekuwa kama matope- matope tu. Nia yenu ilikuwa kumtoa roho, kisa eti maandamano dhidi ya maneno machafu ya Padre. Hapo kuna Mungu au umafya tu!
 
Unaandika uongo uongo sijui kwa faida ya nani...nonesense huna uelewa wowote ushabiki tu
 
Back
Top Bottom