Lucy Mkatoliki feki hajapigwa ni Muongo Angalia picha hii vizuri

huyu ndio gallow bird mwenyewe
 
na hivi vyombo vya habari vya bongo hizi ndizo habari wanazopenda kupost
ila za mambo ya msingi yanapuuza yanachagua habari za kuifurahisha serikali ya malawi
Jana wameshindwa kabisa kuripoti habari za ushindi mnono wa 98% kwa rais wao aliopata na kuibuka Rais katili zaidi duniani
 
Hili kahaba linajitafutia laana kwa nguvu kubwa mno
 
Kwa jinsi alivyotumia sumu za DRC kuharibu ngozi yake angepigwa hapo angekua kama kachanjwa na wembe huyo pana kitu kapaka asituone wote matura tunaweza kudanganywa kijinga kajiharibu kwa mkorogo ahangaike na mambo yake..
 
Halafu mbona wanaojichubua karibu wote Huwa wengi ni HIV positive?
Hii kitu nilishawahi jiuliza, kuna sehem nilikuwa najishughulisha na taasisi fulani nilikuwa karibu sana na waathirika, asilimia kubwa wamejichubua. Na hawawezi kumwangalia mtu usoni
 
Mwanamke mpumbavu sana yule. Katika akili zake za kipumbavu anadhani anaweza kupambana na Katoliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…