GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.
Kwa nini nasema hajapigwa.
1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.
2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?
3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.
View attachment 3528719
ITV wanafanya makosa sana kumpa coverage huyu malaya!!
Hivi ITV huwa wanarusha kabisa maudhui kama haya au wanahudhuria tu ili kurekodi halafu wanakaa nayo?ITV imekuwa ya ******* sana siku hizi
Kabisa mkuu. Halafu amechaguza kufuwekea mkono support akidhani watu hawatagundua. Hapa kapaka kitu halafu mkorogo unafanya pawe pekundu. Hivi watu wanaotaka kweli kumshambulia wangempapasa namna hii. Halafu huko uswazi kuna watu wengi kweli na hakuna mashuhuda waliosikia anapiga kelele.Kwa jinsi alivyotumia sumu za DRC kuharibu ngozi yake angepigwa hapo angekua kama kachanjwa na wembe huyo pana kitu kapaka asituone wote matura tunaweza kudanganywa kijinga kajiharibu kwa mkorogo ahangaike na mambo yake..
Tena saa tano asubuhi bora hata angesema saa tano usiku, huyu ukimwi umeshafika utosini hata hajielewiKabisa mkuu. Halafu amechaguza kufuwekea mkono support akidhani watu hawatagundua. Hapa kapaka kitu halafu mkorogo unafanya pawe pekundu. Hivi watu wanaotaka kweli kumshambulia wangempapasa namna hii. Halafu huko uswazi kuna watu wengi kweli na hakuna mashuhuda waliosikia anapiga kelele.
Asiombe akutane na warugaruga. If luck is on her side, atarudi kwake na dental formula ya manatee, ambaye ana molars tu!😁Anatakiwa apigwe sasa kwelikweli
Imebidi nirudi kuangalia tena nione masikioNa masikio yake kama digidigi🚮
Kwa sababu ukimwi umefubaza nyuso zao sasa wanajaribu kufanya face-lift kwa kutumia mkorogoHalafu mbona wanaojichubua karibu wote Huwa wengi ni HIV positive?
Habib anawadhulumu sana machawa wenzakeHABIBU MCHANGE ,MTAFUTIE HUYU DADA FEDHA
Hii imekaa vizuri sana😂😂😂GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.
Kwa nini nasema hajapigwa.
1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.
2. Tazama macho yake yote mawili yana hali sawa lile ambalo anadai limeshambuliwa na hata hili la kulia..Tulitegemea jicho la kushoto liwe jekundu ina maana alishindwa kuweka hata pilipili kuudanganya umma?
3. Kwa mara nyingine kudhihirisha uhuni wake maana ameshindwa kutaja hata jumuiya anayotoka Isipokuwa mtaa tu. Tulitegemea kuona viongozi wake wa jumuiya wakisema neno.
View attachment 3528719
Nitumie msg kaka ,natuma naona haifaiRafiki yangu nikumbuke ndugu yako, nikumbuke sana kaka usipuuze kabisa
gallow bird katika ubora wako
Asante sana kaka nimekuchek angaliaNitumie msg kaka ,natuma naona haifai
Duh sioni bado sijui Kuna shida Gani, ngoja ni refresh.Asante sana kaka nimekuchek angalia
Au ngoja nikutag chap nikupe namba ya what's up Kisha nifute chap sanaDuh sioni bado sijui Kuna shida Gani, ngoja ni refresh.
Bora digidigi utamfanya kitoweo..Na masikio yake kama digidigi🚮