Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
We Rizimoko ongea na mshua ongea na mshua"Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa". - CAG Mstaafu Ludovic Uttoh
π π π π π π π"Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa". - CAG Mstaafu Ludovic Uttoh
Kuna familia ya mstaafu moja imejaza watu bungeni na kila kona
ujaelewa hoja mkuu.Sasa mbona familia zinapewa huduma za usafiri na ulinzi, mbona mama Maria anapewa escorts na vingora juu
Sio mstaafu mmoja wastaafu wawili huko zenj ....Kuna familia ya mstaafu moja imejaza watu bungeni na kila kona
Huyu naye ajikalie tu atulie. Wakati akiwa CAG vikampuni vyake na vya ndugu zake ndivyo vilivyokuwa anavipa kazi zote kubwa kubwa kufanya auditing kwenye mashirika yote ya serikali. Huku vikihusika kubambika makosa ikitokea hujakaa navyo meza moja. Watu wengi wariathiliwa na walifanikiwa kuchomoka pale tu baada ya vyombo vingine kama pccb kuingilia kati.
Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa.
Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa.
Uteuzi wowote unaopata wa utumishi wa umma fahamu wewe ni mtumishi wa watu na sio vinginevyo sasa watu wengi akipata nafasi anajiona master na ndio inaleta complications.