Habibu Mchange hii project itakufikisha kubaya na wale wanaokutuma kumbuka Mzee Mwinyi na Kikwete waliongoza nchi hii hawajawahi kuwa na project za kupambana na Kanisa na wote hao walikuwa Waislamu. unadhani unamsaidia huyo unayedhani unamsaidia lakini mwisho ya haya ni kuliangamiza Taifa.30 December 2025
🔴#LIVE:LUDOVIC LWEZAURA ANALISHAMBULIA KANISA KATOLIKI MUDA HUU, KWA KUIKOSOA SERIKALI YA SAMIA
View: https://m.youtube.com/watch?v=0K9HbIrg5bE
Usikimbilie kujadili ya nyuma!! Je anayosema sio hoja kwako?Ludovick rwezaula ? Akimaliza kuzungumza naomba aulizwe walau kwa uchache anaijuaje rwamishenye ? Je anamkumbuka afande clement rwekaza ?
Akijibu aje anihakikishie yeye sio product kutoka jumbani nitaweza kumuelewa ila ukakasi wangu utaisha zaidi akiniambia ukweli wa kikao chake katika vimbweta vya magazetini DUCE usiku wa tarehe 11/04/2009 alio kaa nao na kwanini walikimbia wakaacha silaha ? Je ile simu yake yenye maongezi mengi ya mabwana zake wa wakati huo anajua iko wapi ?
Finally anieleze kilichomfanya awalipe walinzi wa kampuni ya Suma usiku ule walau awe huru kurudi hosteli za hall three pasina kufanywa lolote na walinzi wale huku akihofia kwenda mtaani alikokuwa anaishi Wailes .
Ni hayo akijibu basi sina shaka na yeye kulibagaza kanisa ila asiponijibu basi arudi jumbani akapumzike .
Sema huna bando...buku saba nayo pesa!?Mtatuletea summary,piga spana wale wala bure wasio na kazi
Sijaona hoja kaka mpaka sasa walau niendelee kumsikiliza labda nitaipata ila napata mashaka na maamuzi ya yeye kulibagaza kanisa ilihali anayo makandokando yake mengi ambayo hayampi hata nguvu kusimama kumnanga yeyote siyajui kwa kusimuliwa ila nayajua kwa kuyaona na pia kumsaidia kwa baadhi ya ujinga wakeUsikimbilie kujadili ya nyuma!! Je anayosema sio hoja kwako?
Kitima kweli ni mwiba wa waovu....ningekuwa mimi nipo kwenye uongozi wa TEC, ninge release ushahidi wote kwenye hospitali za kanisa wa uovu uliofanyika 29 ....mnafikiri kanisa katoliki ni chauma au udp? Hii ni taasisi imara na haya yote yanayotokea waumini tunayajuaMtatuletea summary,piga spana wale wala bure wasio na kazi
Umeongea pointKuna uwezekano awamu hii...
Tumepata raisi ambaye yupo ikulu kuipigania dini yake...
Na anaelekea kushinda...
NB: siku nyingine tuleteeni raisi aliyelelewa kwenye mazingira yaliyomjenga kuvumilia dini za wengine...
Nina uhakika mwislamu wa Tabora au hata Dar asingetufikisha huku...
Ana haja, hana hoja.Wana hoja!!
Kanisa Katoliki siyo kijiwe, mahubiri ya ndani ya Kanisa hayahojiwi nje ya Kanisa. Wadanganyeni lakini nawapa miezi 3 mtasikia watakavyokosa pa kusali.Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki
aliyebatizwa na anayepokea sakramenti, Ludovick Joseph, amekosoa mwenendo wa hivi karibuni wa baadhi ya viongo wa kanisa hilo.
Kila mtu anabuni mbinu ya kuila hela ya Abduli kivyake vyakeAliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki
aliyebatizwa na anayepokea sakramenti, Ludovick Joseph, amekosoa mwenendo wa hivi karibuni wa baadhi ya viongo wa kanisa hilo.
Kila mtu anabuni mbinu ya kuila hela ya Abduli kivyake vyakeAliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki
aliyebatizwa na anayepokea sakramenti, Ludovick Joseph, amekosoa mwenendo wa hivi karibuni wa baadhi ya viongo wa kanisa hilo.
Maaskofu wengi wa TEC wamegeuza kanisa kuwa kijiwe cha CHADEMA!!