PostGE2025 Ludovick Rwezaura alishambulia Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Samia

PostGE2025 Ludovick Rwezaura alishambulia Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unaijua hii mkuu:-

Katika Kanisa Katoliki, mchakato wa kumuondoa Askofu madarakani unaongozwa na Sheria za Kanuni za Kanisa (Canon Law). Askofu huteuliwa na Papa, na ni Papa pekee mwenye mamlaka ya kumwondoa, kumtaka ajiuzulu, au kumhamisha.

Zifuatazo ni sababu au makosa makuu yanayoweza kupelekea Askofu kuondolewa au kutakiwa kujiuzulu:

### 1. Uzembe katika Kusimamia Majukumu (Negligence)
Hii imekuwa sababu kuu katika miaka ya hivi karibuni, hasa baada ya Amri ya Papa Fransisko iitwayo "Come una madre amorevole" (Kama Mama mwenye Upendo) ya mwaka 2016. Askofu anaweza kuondolewa ikiwa:
  • Amepuuza kutekeleza wajibu wake kiasi cha kusababisha madhara makubwa kwa waumini au Kanisa.
  • Unyanyasaji wa kingono: Ikiwa Askofu ameshindwa kuchukua hatua dhidi ya mapadri wanaotuhumiwa kwa unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto au watu wazima walio katika mazingira magumu.

### 2. Makosa ya Kiimani (Heresy, Apostasy, Schism)
Askofu anaweza kuondolewa ikiwa atatenda makosa dhidi ya imani na umoja wa Kanisa:
  • Uzushi (Heresy): Kufundisha au kushikilia mafundisho yanayopingana na imani rasmi ya Kanisa Katoliki.
  • Uasi (Schism): Kukataa kutii mamlaka ya Papa au kujitenga na umoja wa Kanisa.
  • Ukana Dini (Apostasy): Kukana imani ya Kikristo kabisa.

### 3. Makosa ya Jinai na Maadili (Criminal and Moral Misconduct)
  • Kashfa za Kimaadili: Ikiwa Askofu atajihusisha na vitendo vinavyozua kashfa nzito (mfano: mahusiano ya kimapenzi yaliyo wazi, au unyanyasaji wa kingono yeye mwenyewe).
  • Ubadhirifu wa Fedha: Matumizi mabaya ya mali za Kanisa, wizi, au ufisadi uliokithiri unaoharibu sifa ya jimbo.
  • Uvunjaji wa sheria za nchi: Ikiwa atapatikana na hatia ya makosa mazito ya jinai katika mahakama za kiserikali.

### 4. Afya na Umri (Sababu za Kisheria)
Hizi si "makosa" bali ni taratibu za kisheria:
  • Umri wa kustaafu: Kanuni ya 401 §1 inasema Askofu akitimiza miaka 75, anapaswa kuwasilisha barua ya kujiuzulu kwa Papa.
  • Afya mbaya: Ikiwa Askofu amepata ugonjwa wa akili au mwili unaomzuia kabisa kutekeleza majukumu yake (Canon 401 §2).

### 5. Kupoteza sifa za kichungaji (Loss of Good Reputation)
Ikiwa kwa sababu yoyote ile (hata kama si kosa la jinai), Askofu amepoteza sifa na kuheshimiwa na waumini kiasi kwamba uwepo wake unaleta mgawanyiko mkubwa au unazuia injili kuhubiriwa kwa ufanisi katika jimbo lake.

### Mchakato wa kuondolewa unakuwaje?
1. Uchunguzi: Vatican (kupitia Ubalozi wa Papa au Baraza la Maaskofu) hufanya uchunguzi wa siri au wa wazi.
2. Ombi la Kujiuzulu: Mara nyingi, Papa humuomba Askofu ajiuzulu "kwa hiari" (voluntary resignation) ili kulinda heshima yake na ya Kanisa.
3. Kuondolewa kwa Lazima: Ikiwa Askofu atakataa kujiuzulu na ushahidi wa makosa upo, Papa anaweza kumvua madaraka (removal from office) kwa kutumia mamlaka yake ya kikuu.

Muhimu: Katika Kanisa Katoliki, Askofu anaweza kuondolewa kwenye madaraka ya jimbo, lakini daraja lake la "Uaskofu" (Sacramental character) halifutiki kamwe, isipokuwa tu akivuliwa hadhi ya ukuhani (laicization) katika kesi mbaya sana.
Hoja yako hapa ni nini?
Naona umetoa uwezekano wa Askofu kuondolewa madaraka ya kuliongoza Jimbo(japo Kwa msaada wa AI). Ni kweli uwezekano huo upo japo si rahisi hivyo isipo kuwa kwa grave reason. Ukiondoa sababu ya umri na afya(za kawaida) lakini sababu kuu Askofu kuondolewa madaraka ni Imani(yaani kuasi Imani au kufundisha mafundisho potoshi) na sababu za utovu wa maadili) hizi ndizo grave reason tena mambo yanaenda kimyakimya bila ushabiki na mbwembwe Wala huwezijua kirahisi. Lakini si kwa mambo ya Sasa hivi😆 ni maigizo tu haya. Mchakato wa kumpata Askofu ni makini sana, Askofu ni Ishara ya uwepo wa Kanisa kumwakilisha Kristo.

Utimilifu wa Jimbo ni uwepo wa Askofu. Canon law imempa Mamlaka kama Mchungaji mkuu, mwalimu mkuu na kiongozi mkuu wa Jimbo akisaidiwa na mapdre wake. Ndio maana Mamlaka ya kumshughulikia Padre ni Askofu wake kwanza na si Vatican. kama wale waliopeleka barua Kwa Nuncio.

Uaskofu ni Sakramenti, anaweza ondolewa tu Mamlaka ya kuliongoza Jimbo ( with a grave reason) ila Uaskofu hauondolewi na mtu yeyote akiwemo papa. Ni alama isofutika.
 
Na hao wanahabari hawana kazi? Utaendahe kumpa airtime mtu tapeli kama Ludovick?

Ignore this mind crippled creature.
 
Habibu Mchange hii project itakufikisha kubaya na wale wanaokutuma kumbuka Mzee Mwinyi na Kikwete waliongoza nchi hii hawajawahi kuwa na project za kupambana na Kanisa na wote hao walikuwa Waislamu. unadhani unamsaidia huyo unayedhani unamsaidia lakini mwisho ya haya ni kuliangamiza Taifa.
Who is Habibu Mchange?
 
Info za ndani zaidi
Jina la baba yake : Lwazaura

Jina ake ; Joseph

Mkoa kuzaliwa ; Bukoba

Kabila : Mhaya

Watoto : 2 na 1 (private)

Dini ; Hasi katoriki toka 2009

Kazi : Uwalimu

Chama : CCM

Kadi yake ya Chama : 896-921**

Namba za simu : (Hidden file)

Makazi : Dodoma

Elimu ; Kozi fupi ya theology ya biblia baadaye akafukuzwa chuoni kwa makosa ya kinidhamu kabla hajamaliza

Askofu wake ; Kinyaia wa Dodoma

Amewahi kufundisha shule ya secondary ya St. Mary's High school ya chang'ombe baadaye kafukuzwa na hapo na kukimbilia dodoma kugombea udiwani, kwa bahati mbaya hakuweza kupita.
FB_IMG_1767153742944.jpg
 
Hawa wanafadhiliwa na mtoto wa yullr mama....Kanisa katoliki ni wastaarabu sana. Wangeweza kuanika mambo mengi ya yale mauaji ya tarehe 29 ila wamenyuti tu. Vyombo hivyo vya habari huwa vinajaa hata kwa wakata vichwa
TEC hawana any classified info zaidi ya walizosema. Amini hivyo ndugu yangu. Kimsingi mbinu zote wameishiwa, wamebakiwa na mbinu ya kuchochea tu kupitia majukwaani na ile ya kwenda kushtaki Vatican, na Vatican iziambie mamlaka zake za ulaya waweke vikwazo hewa kwa Tanzania au kama kinachoendelea Naigeria na Venezuela. Hivyo kama unaamini kuwa TEC wana habari nyingine ya maana zaidi kuhusu tarehe 29, umajidanganya mwenyewe.
 
Hoja yako hapa ni nini?
Naona umetoa uwezekano wa Askofu kuondolewa madaraka ya kuliongoza Jimbo(japo Kwa msaada wa AI). Ni kweli uwezekano huo upo japo si rahisi hivyo isipo kuwa kwa grave reason. Ukiondoa sababu ya umri na afya(za kawaida) lakini sababu kuu Askofu kuondolewa madaraka ni Imani(yaani kuasi Imani au kufundisha mafundisho potoshi) na sababu za utovu wa maadili) hizi ndizo grave reason tena mambo yanaenda kimyakimya bila ushabiki na mbwembwe Wala huwezijua kirahisi. Lakini si kwa mambo ya Sasa hivi😆 ni maigizo tu haya. Mchakato wa kumpata Askofu ni makini sana, Askofu ni Ishara ya uwepo wa Kanisa kumwakilisha Kristo.

Utimilifu wa Jimbo ni uwepo wa Askofu. Canon law imempa Mamlaka kama Mchungaji mkuu, mwalimu mkuu na kiongozi mkuu wa Jimbo akisaidiwa na mapdre wake. Ndio maana Mamlaka ya kumshughulikia Padre ni Askofu wake kwanza na si Vatican. kama wale waliopeleka barua Kwa Nuncio.

Uaskofu ni Sakramenti, anaweza ondolewa tu Mamlaka ya kuliongoza Jimbo ( with a grave reason) ila Uaskofu hauondolewi na mtu yeyote akiwemo papa. Ni alama isofutika.
AI IPO kutusaidia kujua mambo ambayo hatuyafahamu. Naona watu wengine wanabeza matumizi ya AI. Msaka maarifa atatumia njia zote ili ajifunze, hata comment Yako ni shule pia kwetu.

Ludovick pamoja na mambo aliyobwabwaja ana hoja ndani yake. Si kweli kuwa Askofu ana Kinga kiasi wanavyofikiri hususan matumizi ya fedha za Jimbo etc.

Kuhusu kukemea yaliyotokea 29/10 TEC wapo sahihi na ni wajibu wao. Kwanza nilitegemea waende mbele zaidi waoneshe hata data sahihi za waliokufa kutoka katika hospitali, vituo vya afya na zahanati zao.

Kwa waliopeleka malalamiko Yako kwa Balozi wa Vatican nchini, nao ni haki Yao. Kuwabeza na kuwabananga si sawa. Kila mtu ana uhuru wa kufanya atakalo bila kuvunja Sheria!

Naamini umeona ni kwanini nilihangaika kutafuta AI isaidie katika Hili na imefanikiwa kwa kiasi chake. Hakuna anayesema waliopeleka malalamiko Wana nia ya kuona mfano Askofu aliyetamka ulofa avuliwe madaraka, la hasha ni kujaribu kumkumbusha kuwa naye ana mamlaka ya nidhamu.

Heri ya mwaka mpya!
 
Sio tu Askofu hata papa anaweza wajibika ila kwa (grave reason hasa ( kama kuasi Imani mf. Askofu Mkuu Milingo) na si porojo kama hizi). Kinachoendelea Sasa ni maigizo tu na ni nje ya utaratibu wa Kanisa (mazingira si sahihi yanayo onyesha kbs yana nia ovu ndani yake) yule bwana alisema ameitumia lesser evil kuita press, lakini kimsingi hakukua condition yoyote kujustfy press kuwa ni lesser evil dhidi ya uovu mkubwa ambao ungefanyika endapo asingeta press (aliyo andaliwa). nikuonyesha tu term hiyo anaijua ila ameitumia kinyume na matakwa yake kama maadili yanavyo dai.

Halmashauri za walei wanafahamu zaidi wanavyo tatua matatizo na wachungaji wao na namna wanavyo ratibu mambo ya fedha. Na kimsingi mambo ya fedha yapo chini ya walei siku hizi. Pia inakuhitaji uwe na full communion with church ndipo canon law in bind kwako. Huwezi tumia canon law kama huna ushirika kamili na kanisa.

Sasa hao wanachofanya ni nje ya utaratibu ( press ndio Mamlaka?). Motive zao ni ovu.
 
Aliyewahi kuwa kada wa CHADEMA na mtu wa karibu wa siku nyingi na Waziri Mkuu mpya (Mwigulu Nchemba) ndugu Ludovick Rwezaura ameibuka leo na kulishambulia vikali Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Rais Samia...

Amejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki, aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph Rwezaura, amekosoa mwenendo wa hivi karibuni wa viongozi wa dini waandamizi .

Anasema Kanisa Katoliki lina kashfa nyingi ikiwemo kutokusoma mapato kwa waumini (Cannon Law)...

Anasema mwaka huu Jimbo Kuu la DSM limekusanya Bilioni 5, lakini Askofu Ruwaichi hakuwahi kusoma taarifa... huku akisisitiza kuwa tafakari hiyo haitokani na chuki wala uasi.

Fuatilia:

View: https://m.youtube.com/watch?v=0K9HbIrg5bE

“Mjadala huu unatokana na imani kwamba, pamoja na kanisa kuanzishwa na Kristo, viongozi wake ni wanadamu wenye mipaka na wanaoweza kukosea, hivyo wanapaswa kuongozwa na Injili, unyenyekevu na mfano wa Kristo mchungaji mwema”,Amesema.

Akinukuu Sheria ya Kanisa (Canon Law), amesema waumini wanatambuliwa kisheria kuwa na haki ya kutoa maoni, ushauri na malalamiko yao kwa wachungaji wa kanisa kuhusu masuala yanayolihusu kanisa huku akibainisha kuwa hatua hiyo si uasi wala dhambi inapofanyika kwa kuzingatia misingi ya kanisa.

Katika tafakari yake, Ludovick Joseph Rwezaura amekemea matumizi ya madhabahu kama majukwaa ya siasa au lugha za matusi, akisisitiza kuwa mahubiri ya Kikatoliki yanapaswa kubaki kuwa chombo cha kufundisha Injili na kuimarisha imani ya waumini.

Aidha, mjadala huo umeibua hoja ya uwajibikaji na uwazi wa kifedha ndani ya kanisa, ambapo Ludovick Joseph Rwezaura amesema baadhi ya waumini wamekuwa wakihoji matumizi ya sadaka na michango yao, huku sheria za kanisa zikihimiza utoaji wa taarifa kwa waumini.

Akihitimisha, Ludovick Joseph Rwezaura amesema mjadala unaoendelea unapaswa kuchukuliwa kama fursa ya kujitafakari na kujijenga upya, akitoa wito kwa viongozi wa kanisa kuongoza kwa unyenyekevu na kwa waumini kuendelea kushikamana katika sala, amani na upendo kwa ajili ya mustakabali wa kanisa na taifa.
Screenshot_20251230-145403-1024x674.jpg
Screenshot_20251230-145427-1024x668.jpg
Screenshot_20251230-145439-1024x656.jpg

Baada ya kazi:

👇🏽
View attachment 3522946

Ludovick31????
 
Ludovick rwezaula ? Akimaliza kuzungumza naomba aulizwe walau kwa uchache anaijuaje rwamishenye ? Je anamkumbuka afande clement rwekaza ?
Akijibu aje anihakikishie yeye sio product kutoka jumbani nitaweza kumuelewa ila ukakasi wangu utaisha zaidi akiniambia ukweli wa kikao chake katika vimbweta vya magazetini DUCE usiku wa tarehe 11/04/2009 alio kaa nao na kwanini walikimbia wakaacha silaha ? Je ile simu yake yenye maongezi mengi ya mabwana zake wa wakati huo anajua iko wapi ?

Finally anieleze kilichomfanya awalipe walinzi wa kampuni ya Suma usiku ule walau awe huru kurudi hosteli za hall three pasina kufanywa lolote na walinzi wale huku akihofia kwenda mtaani alikokuwa anaishi Wailes .

Ni hayo akijibu basi sina shaka na yeye kulibagaza kanisa ila asiponijibu basi arudi jumbani akapumzike .
Mkuu ulipata majibu ya maswali hayo?
 
Sasa kuliko kujisemea humu tu, kama lina kashfa nyingi, kama anavyodsi, kwa nini asiende kushtaki polisi au achukue hatua ya kulishtaki kwa Balozi wa Papa nchini kama wenzake "wawakilishi wa Wakatoliki" walivyofanya? Nani anamzuia? Kama yeya ni Mkatoliki na Kanisa lake Lina kashfa nyingi, yeye amechukua hatua gani Kanisa liwe safi kama yeye alivyomsafi? Na kwa nini kwa usafi wake huo, aendelee kuwa kwenye Kanisa lenye kashfa. Labda atusaidie logic yake ni nini?
 
Mkuu ulipata majibu ya maswali hayo?

Mkuu njoo tunywe bia nipo keko ya juu ,bar ya giraffe ,ukifika muite muhudumu mwambie namtafuta nyoka .
Atakuleta Kwa bwana mmoja kipara kikubwa ,tumbo kama pipa la ulanzi na mfupi kama watu wa congo hapo jua umenikuta ,uje tufurahie kaka ,ya kale yalishapita kaka Sasa yamebaki historia
 
Asante mkuu, ila jamaako bado anasumbuwa, bado anafurahia shida za wengine.
 
Back
Top Bottom