PostGE2025 Ludovick Rwezaura alishambulia Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maaskofu wengi wa TEC wamegeuza kanisa kuwa kijiwe cha CHADEMA!!
Father Kitima anakuwa na gharama nyingi kwa kanisa zima kwa sababu ya uanasiasa wake haswa alivyo sehemu ya CHADEMA.

Baadhi ya Maaskofu wanavumilia tabia hizo wakiongozwa na utii wa jumla.

Tunazama tukiwa wamoja tunaibuka juu ya maji tukiwa wamoja.
 
Ni kibaka tu.Gen-Z wataenda kumsabahi kwa mahaba mazito.Ni shibe tu ya ebhitoke na buni zimemlevya.A simple drunkard.
 
Ila ITV imeshakufa.

Vipropaganda ambavyo, ulitegemea uone ONLINE TV, unashangaa na wao wapo.

Njaa ni kali
 
Moja ya project mbovu kuwahi kutengenezewa na TISS, hii project italeta madhara makubwa kwa nchi lakini hii haiwaachi salama. TEC sio kwamba haiwezakani kuanguka lakini "at which cost".
 
Maaskofu wengi wa TEC wamegeuza kanisa kuwa kijiwe cha CHADEMA!!
Cdm haikwepeki. Na hiyo ni kawaida chama tawala kikikaribia kukata roho. Hakuna jambo gumu kama kushindana na wakati, mfano halisi Mbowe.
 
Huyu mtu nilivyomsikia inaonyesha amepitia malezi ya kipadre mpaka hatua ya teolojia akashindwa na kufukuzwa hivyo hili la kukatisha wito inamuuma sana Hilo.
But that is the Church kwakweli huwezi shindana nalo. Askofu ndani ya kanisa katoliki amepewa Mamlaka ya juu sana (Magisterium) yeye ni mwalimu, mchungaji na kiongozi Mkuu wa jimbo.

Mt. Ignatius wa Antioch alisema: “Ubi episcopus, ibi ecclesia” ....“Where the bishop is, there is the Church.” " Palipo Askofu ndipo kanisa lilipo"

Kiukweli Mamlaka ya kanisa si ya kufanyia compromise. Anapotoa homilia haihitaji maoni zaidi ya tafakari ya ndani.

As individual huwezishindana na kanisa never ever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…