Ole jaminati
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 284
- 251
Huyo jamaa elimu yake ikoje ? Kama ana njaa akachukue buku 7 zake pale lumumba na sadaka yake sio lazima na madhehebu yapo mengi ahamie huko30 December 2025
Aliyewahi kuwa kada wa CHADEMA, ndugu Ludovick Rwezaura ameibuka leo na kulishambulia vikali Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Rais Samia...
Fuatilia:
🔴#LIVE:LUDOVIC LWEZAURA ANALISHAMBULIA KANISA KATOLIKI MUDA HUU, KWA KUIKOSOA SERIKALI YA SAMIA
View: https://m.youtube.com/watch?v=0K9HbIrg5bE
Ajitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki, aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph Rwezaura, amekosoa mwenendo wa hivi karibuni wa viongozi wa dini waandamizi ...
Anasema Kanisa Katoliki lina kashfa nyingi ikiwemo kutokusoma mapato kwa waumini (Cannon Law)...
Anasema mwaka huu Jimbo Kuu la DSM limekusanya Bilioni 5, lakini Askofu Ruwaichi hakuwahi kusoma taarifa...
huku akisisitiza kuwa tafakari hiyo haitokani na chuki wala uasi.
“Mjadala huu unatokana na imani kwamba, pamoja na kanisa kuanzishwa na Kristo, viongozi wake ni wanadamu wenye mipaka na wanaoweza kukosea, hivyo wanapaswa kuongozwa na Injili, unyenyekevu na mfano wa Kristo mchungaji mwema”,Amesema.
Akinukuu Sheria ya Kanisa (Canon Law), amesema waumini wanatambuliwa kisheria kuwa na haki ya kutoa maoni, ushauri na malalamiko yao kwa wachungaji wa kanisa kuhusu masuala yanayolihusu kanisa huku akibainisha kuwa hatua hiyo si uasi wala dhambi inapofanyika kwa kuzingatia misingi ya kanisa.
Katika tafakari yake, Ludovick Joseph Rwezaura amekemea matumizi ya madhabahu kama majukwaa ya siasa au lugha za matusi, akisisitiza kuwa mahubiri ya Kikatoliki yanapaswa kubaki kuwa chombo cha kufundisha Injili na kuimarisha imani ya waumini.
Aidha, mjadala huo umeibua hoja ya uwajibikaji na uwazi wa kifedha ndani ya kanisa, ambapo Ludovick Joseph Rwezaura amesema baadhi ya waumini wamekuwa wakihoji matumizi ya sadaka na michango yao, huku sheria za kanisa zikihimiza utoaji wa taarifa kwa waumini.
Akihitimisha, Ludovick Joseph Rwezaura amesema mjadala unaoendelea unapaswa kuchukuliwa kama fursa ya kujitafakari na kujijenga upya, akitoa wito kwa viongozi wa kanisa kuongoza kwa unyenyekevu na kwa waumini kuendelea kushikamana katika sala, amani na upendo kwa ajili ya mustakabali wa kanisa na taifa.
Taasisi imara kwa kunyonya nchiKitima kweli ni mwiba wa waovu....ningekuwa mimi nipo kwenye uongozi wa TEC, ninge release ushahidi wote kwenye hospitali za kanisa wa uovu uliofanyika 29 ....mnafikiri kanisa katoliki ni chauma au udp? Hii ni taasisi imara na haya yote yanayotokea waumini tunayajua
Au siyoSema huna bando...buku saba nayo pesa!?
Mwana mbona kaongea vitu konki tu30 December 2025
Aliyewahi kuwa kada wa CHADEMA, ndugu Ludovick Rwezaura ameibuka leo na kulishambulia vikali Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Rais Samia...
Fuatilia:
🔴#LIVE:LUDOVIC LWEZAURA ANALISHAMBULIA KANISA KATOLIKI MUDA HUU, KWA KUIKOSOA SERIKALI YA SAMIA
View: https://m.youtube.com/watch?v=0K9HbIrg5bE
Ajitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki, aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph Rwezaura, amekosoa mwenendo wa hivi karibuni wa viongozi wa dini waandamizi ...
Anasema Kanisa Katoliki lina kashfa nyingi ikiwemo kutokusoma mapato kwa waumini (Cannon Law)...
Anasema mwaka huu Jimbo Kuu la DSM limekusanya Bilioni 5, lakini Askofu Ruwaichi hakuwahi kusoma taarifa...
huku akisisitiza kuwa tafakari hiyo haitokani na chuki wala uasi.
“Mjadala huu unatokana na imani kwamba, pamoja na kanisa kuanzishwa na Kristo, viongozi wake ni wanadamu wenye mipaka na wanaoweza kukosea, hivyo wanapaswa kuongozwa na Injili, unyenyekevu na mfano wa Kristo mchungaji mwema”,Amesema.
Akinukuu Sheria ya Kanisa (Canon Law), amesema waumini wanatambuliwa kisheria kuwa na haki ya kutoa maoni, ushauri na malalamiko yao kwa wachungaji wa kanisa kuhusu masuala yanayolihusu kanisa huku akibainisha kuwa hatua hiyo si uasi wala dhambi inapofanyika kwa kuzingatia misingi ya kanisa.
Katika tafakari yake, Ludovick Joseph Rwezaura amekemea matumizi ya madhabahu kama majukwaa ya siasa au lugha za matusi, akisisitiza kuwa mahubiri ya Kikatoliki yanapaswa kubaki kuwa chombo cha kufundisha Injili na kuimarisha imani ya waumini.
Aidha, mjadala huo umeibua hoja ya uwajibikaji na uwazi wa kifedha ndani ya kanisa, ambapo Ludovick Joseph Rwezaura amesema baadhi ya waumini wamekuwa wakihoji matumizi ya sadaka na michango yao, huku sheria za kanisa zikihimiza utoaji wa taarifa kwa waumini.
Akihitimisha, Ludovick Joseph Rwezaura amesema mjadala unaoendelea unapaswa kuchukuliwa kama fursa ya kujitafakari na kujijenga upya, akitoa wito kwa viongozi wa kanisa kuongoza kwa unyenyekevu na kwa waumini kuendelea kushikamana katika sala, amani na upendo kwa ajili ya mustakabali wa kanisa na taifa.
Rhis is the problemWajinga sana hawa watu
Je inaondoa yeye kufanya kazi na ndumuz??Ludovick rwezaula ? Akimaliza kuzungumza naomba aulizwe walau kwa uchache anaijuaje rwamishenye ? Je anamkumbuka afande clement rwekaza ?
Akijibu aje anihakikishie yeye sio product kutoka jumbani nitaweza kumuelewa ila ukakasi wangu utaisha zaidi akiniambia ukweli wa kikao chake katika vimbweta vya magazetini DUCE usiku wa tarehe 11/04/2009 alio kaa nao na kwanini walikimbia wakaacha silaha ? Je ile simu yake yenye maongezi mengi ya mabwana zake wa wakati huo anajua iko wapi ?
Finally anieleze kilichomfanya awalipe walinzi wa kampuni ya Suma usiku ule walau awe huru kurudi hosteli za hall three pasina kufanywa lolote na walinzi wale huku akihofia kwenda mtaani alikokuwa anaishi Wailes .
Ni hayo akijibu basi sina shaka na yeye kulibagaza kanisa ila asiponijibu basi arudi jumbani akapumzike .
Unaona usenge wa huyu jamaa...unajua kanisa ni zaidi ya huyu marehemu mtarajiwa nchemba?....huyu matako mpumbavu sana...kama kweli ana concern amewahi kuwasilisha kwenye kanisa formally?...unajua usenge wa hapa tulipofikia unairritate sana...Ludovick Rwezaula
Mmeona kutumia mashehe ubwabwa kupambana na Kanisa kume backfire sasa mnawatafuta jamaa zenu wa CCM wajaribu kufitinisha Kanisa. Katoliki ni habari nyingine na hapo wanawazoom tu.Taasisi imara kwa kunyonya nchi
Huyu kuna kipindi aliwahi kumletea matatizo Fred Rwakatale akasota sana mahabusu
Unaijua hii mkuu:-Huyu mtu nilivyomsikia inaonyesha amepitia malezi ya kipadre mpaka hatua ya teolojia akashindwa na kufukuzwa hivyo hili la kukatisha wito inamuuma sana Hilo.
But that is the Church kwakweli huwezi shindana nalo. Askofu ndani ya kanisa katoliki amepewa Mamlaka ya juu sana (Magisterium) yeye ni mwalimu, mchungaji na kiongozi Mkuu wa jimbo.
Mt. Ignatius wa Antioch alisema: “Ubi episcopus, ibi ecclesia” ....“Where the bishop is, there is the Church.” " Palipo Askofu ndipo kanisa lilipo"
Kiukweli Mamlaka ya kanisa si ya kufanyia compromise. Anapotoa homilia haihitaji maoni zaidi ya tafakari ya ndani.
As individual huwezishindana na kanisa never ever.
Halafu wanaotufanyia usenge huu ni kobaz...wameona njia ya kutumia mashehe ubwabwa inafeliUnaona usenge wa huyu jamaa...unajua kanisa ni zaidi ya huyu marehemu mtarajiwa nchemba?....huyu matako mpumbavu sana...kama kweli ana concern amewahi kuwasilisha kwenye kanisa formally?...unajua usenge wa hapa tulipofikia unairritate sana...
Fucken stupid!
Ova!
Kanisa linajifitinisha lenyewe kwa kuingia ulingo wa siasaMmeona kutumia mashehe ubwabwa kupambana na Kanisa kume backfire sasa mnawatafuta jamaa zenu wa CCM wajaribu kufitinisha Kanisa. Katoliki ni habari nyingine na hapo wanawazoom tu.