FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Jibu hoja acha lugha rejareja
Ilikuja kutokea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja acha lugha rejareja
Ilikuja kutokea wapi?
Hilo sio lengo la mleta mada Mkuu! Huoni Avatar yake?hapo ina maana kwamba ktk lugha za asili kiswahili namba moja. ukiachana na lugha za mkoloni
Revise your standard five history notes
Hilo sio lengo la mleta mada Mkuu! Huoni Avatar yake?
Labda shule uliyoenda wewe ni ile ya kukufundisha ujinga.
Lengo lake ndo lengo lako!Haya tuelezee lengo lake ni nini?
Lengo lake ndo lengo lako!
Ukweli ndo huo! Mnatamani Africa yote tuongee Kiarabu, mnatamani hata mtushikie mitutu!.....Hujambo lakini Bi. Mdada?Ushaanza kubwabwaja na kuhororoja bila mpango. Dalili za kuishiwa na la kuchangia.
1. English 700M
2. Arabic 100M
3. Swahili 100M
4. French 90M
5. Hausa 50M
source: Top 10 Most Spoken Languages in Africa 2015
Ukweli ndo huo! Mnatamani Africa yote tuongee Kiarabu, mnatamani hata mtushikie mitutu!.....Hujambo lakini Bi. Mdada?
Siyo kweli lugha inayozungumzwa sana Nigeria ni kihausa.Takwimu hazipo Sawa.. Nigeria inazungumza English na inapopulation kubwa ila kwenye key ni tofaut
Sisi hiyo hatujari! Haina impact yoyote juu ya maisha ya Mwafrica, hata tusema lugha ya kwanza ya Mwafrica Kiarabu, Na kiswahili kina asili ya kiarabu.... So What??????Lugha ya kwanza Afrika ni Kiarabu na Kiswahili unachoongea kina asilimia kubwa ya Kiarabu kuliko lugha nyingine yoyote ile na hiyo bila kushikiwa bunduki.
Unalo?
Sisi hiyo hatujari! Haina impact yoyote juu ya maisha ya Mwafrica, hata tusema lugha ya kwanza ya Mwafrica Kiarabu, Na kiswahili kina asili ya kiarabu.... So What??????
Kajifunze kiswahili we muha.Sisi hiyo hatujari! Haina impact yoyote juu ya maisha ya Mwafrica, hata tusema lugha ya kwanza ya Mwafrica Kiarabu, Na kiswahili kina asili ya kiarabu.... So What??????
Sasa Kama Africa imetokana Na Kiarabu.... So What??? Haina maana yoyote kwangu.....labda ukinambia unajua Nyerere kachangia uhuru wa Nchi hii? Hiyo ndo itakua Na maana kwangu!=hatujali
Ingekuwa hujali usingejibu.
Jee, unajuwa kuwa "Afrika" ni jina lililotokana na Kiarabu kama ilivyo Dar es Salaam?
Nenda zako huko wewe Mujahidina!Kajifunze kiswahili we muha.
Unachafua lugha ya taifa
Sasa Kama Africa imetokana Na Kiarabu.... So What??? Haina maana yoyote kwangu.....labda ukinambia unajua Nyerere kachangia uhuru wa Nchi hii? Hiyo ndo itakua Na maana kwangu!
Teh teh teh.Nenda zako huko wewe Mujahidina!
We mkerewe mpk wali umefundishwa kula na Waarabu.Sasa Kama Africa imetokana Na Kiarabu.... So What??? Haina maana yoyote kwangu.....labda ukinambia unajua Nyerere kachangia uhuru wa Nchi hii? Hiyo ndo itakua Na maana kwangu!