Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

Kitu kibaya duniani ni kumtambia mtu elimu yako dunian

Kuna watu waliosoma sarufi hawa hawawez kukosea matamshi ya kiswahili au uandshi wa kiswahili

Nilisoma kiswahili darasani kwa zile vital issues tu uko kwingne sikwenda, kiswahili ni kigum ata kwa mswahili kama hajasoma sarufi inavotakiwa

Ndio maana unaweza kukuta mtu anaandika kiswahili lakn kumbe kisarufi anakosea kabisa kiuandishi

Bahati mbaya sikusoma kiswahili mpaka mwisho nilienda sayansi nikasomea elimu ya afya
Mimi sitambi (kujiona ni haramu kwenye dini yangu), wewe ndio ulioniuliza kuhusu elimu yangu, uliniuliza nimesoma mpaka darasa la ngapi. Ndio nikatoa jibu hilo. Thanks.
 
Takwimu nyingine
ImageUploadedByJamiiForums1458937986.794419.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1458938007.587855.jpg
 
Kuna kitu nimegundua mkuu..ninaposema asili yake ni kibantu kumbe ulikua huelewi kabisa...kibantu ni makabila tofauti zaidi ya 120...

hii itakua ni ngumu kabisa mimi na wewe kuelewana aisee...ungekua umesoma somo la kiswahili kidato flani hivi ungenielewa....na mifano hipo mingi tu jinsi maneno ya kiswahili yalivoundwa kutokana na makabila ya kibantu

Pia sio kiarabu tu kuna baadhi wanasema asili ya kiswahili ni watu walioishi misitu ya kongo, kuna ushahid u nakataa na kupiga hio nadharia, kuna vyanzo mbalimbali vinadaiwa kua ni asili ya kiswahili ila ambayo ilikua kua verified ni kibantu....sasa hapo kwenye kibantu kuna jinsi muunganiko wa maneno ulivyo tokea na kutengeneza kiswahili

Sifa moja wapo ya lugha ni kutojitosheleza...hapo ndo utakuta kingereza kina maneno ya kigiriki na kilatin, utakuta kiswahili kina maneno ya kiarabu na kireno

Ndo maana kuna comment flani nilikuliza sifa kuu za lugha ukashindwa kujibu....naomba tuishie Hapa mkuu
Wee unajifanya msomi, unadhania sisi wajinga? Sisi pia tumesona Kiswahili tena kuliko wewe, maswali yako yote nimekujibu hapo juu, inashangaza eti unajigamba unajua kiswahili na unasema eti sisi wengine hatujui kiswahili, lakini nikitazama lugha unaondika hapa, is broken Swahili, even you don't know how to write correct Swahili grama.
 
Uduni upi tulionao nao wakolosai...fafanua hapo kielimu, kifikra, maendeleo au nini labda sijakuelewa halafu nikwambie kitu....
Uduni wa busara, maadili, tabia, mentally, afya (kila siku mnakula nyamafu, najsi, nguruwe. Hamfungi saumu.......mnakunya bila kutawadha...mnatembea na majanaba, magovi yenu hayakatwi, uchafu mtupu...mnakunywa pombe kwenye nyumba za ibada.... . You name it).
 
Kiarabu sio lugha ya Kuazima, Kwa mfano Misri, Morocco , Tunisia, Libya, Algeria, Mauritania .... Kiarabu ni lugha yao.
...lakini origin ya lugha ya kiarabu ni wapi mkuu, lazima itakuwa ni sehemu moja kisha kikasambaa na kuenea huko kote ulipotaja
 
Hahahaha halafu unajua wewe upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana...nisingejua eti kalamu,vitabu,daftar na huo ujinga mwingne ulioandika....kwaio unafikiri ivo vitu visingekua na majina mpaka leo....? Tabia ya lugha yoyote dunian ni kutojitosheleza lazima ikope maneno kwenye lugha zingne na hii ni kwa lugha almost lugha zote..ebu nitajie sifa kuu 5 za lugha kwanza usijekua hujui kitu wewe..Ok lugha ya kingereza imejaa maneno ya kilatin kwaio utasema hapo kingereza ni kilatin....panua uwezo wa kufikir wewe
1) Ama kweli akili ni mali, naona sasa umekubali kwamba kuna maneno mengi ya Kiarabu kwenye lugha ya Kiswahili (kwa nini basi kwanza ulikuwa ukibisha?) kumbe unajua?

2) Nani kasema hivyo? kwamba vitu hivyo visingekua na majina mpaka leo? Wewe mbona mgumu wa kufahamu? Nimekwambia kama sio Waislamu (Warabu) usinge yajua maneno hayo (not physically, I meaned these words, please read it again, tafakari).

Mjadala finished.
 
Kawadanganye huko Magomeni mwembechai kwenye vijiwe vyenu vya kahawa lakini sisi huwezi kutudanganya.
Hatukubali upotoshaji wako.
Mjadala uishe.
 
Hata neno hili SWAHILI ni neno la kiarabu maana yake ni PWANI.
mimi napinga hadi kesho kiswahili sio kiarabu..sema kuna baadhi ya maneno yamekopwa toka kwa kiarabu..

huo ni utaratibu wa ligha zote kukopa maneno ligha zingine ili kujaza misamiati ktk lugha yao..

kama kusema kiswahili ni kiarabu kisa kinamaneno ya kiarabu basi kiswahili pia ni kichina maana kuna maneno ya kichina km 'chai'
pia kuna maneno ya kireno km nanasi.. kuna maneno ya kijerumani km bendera,shule

sasa kiswahili ni kireno,kijerumani au kichina? mbona kuna neno BUNGE ambalo ni neno la wagogo kwa hiyo kiswahili ni kigogo..

kiswahili itabaki kuwa lugha ya Afrika na kiarabu itabaki kuwa lugha ya mwarabu kama kilivyo kiingereza ni lugha ya mzungu... FULL STOP
 
Kawadanganye huko Magomeni mwembechai kwenye vijiwe vyenu vya kahawa lakini sisi huwezi kutudanganya.
Hatukubali upotoshaji wako.
Mjadala uishe.
Wewe ndio uliodanganywa au unajidanganya mwenyewe.
 
mimi napinga hadi kesho kiswahili sio kiarabu..sema kuna baadhi ya maneno yamekopwa toka kwa kiarabu..

huo ni utaratibu wa ligha zote kukopa maneno ligha zingine ili kujaza misamiati ktk lugha yao..

kama kusema kiswahili ni kiarabu kisa kinamaneno ya kiarabu basi kiswahili pia ni kichina maana kuna maneno ya kichina km 'chai'
pia kuna maneno ya kireno km nanasi.. kuna maneno ya kijerumani km bendera,shule

sasa kiswahili ni kireno,kijerumani au kichina? mbona kuna neno BUNGE ambalo ni neno la wagogo kwa hiyo kiswahili ni kigogo..

kiswahili itabaki kuwa lugha ya Afrika na kiarabu itabaki kuwa lugha ya mwarabu kama kilivyo kiingereza ni lugha ya mzungu... FULL STOP
1) Naona unanizulia uongo sasa sijasema kwamba Kiswahili ni 100% kiarabu, nimesema kwamba kwenye Kiswahili kuna maneno mengi sana ya Kiarabu (takriban 60% au zaidi), rudia post zangu hapo juu.

2) Hapa pia umusema uongo wa dhahiri kabisa, nanasi (أناناس) ni Kiarabu sio Kireno.

3) Bendera ( بنديرا) ni kiarabu sio kijerumani (kumbe una tabia ya uongo?)

4) Hapa pia umedanganya, Chai (شاي) ni Kiarabu sio kichina.

Full stop (usidhani unaongea na wajinga hapa).
 
nimeweka hivyo makusudi ili ujue kwamba kiswahili kimekopa maneno toka kiarabu...afu acha uongo hizo 60% nyingi sana, kiswahili aslimia 100 ni kibantu na kimekopa maneno tka lugha zingine si zaidi ya 5%
 
1) Hahaha, eti Kiswahili 100% ni kibantu na kimekopa maneno toka lugha zingine si zaidi ya 5%.

Sasa hiyo 100% imetokea wapi? Hahaha

Au unamaanisha 95%?

Au haujui maana ya asilimia?

Si umetoa hiyo 5% kutoka kwenye mia? Vipi itabakia 100%?

100 - 5 = 95

Au sio bro?

Hahaha.

2) Pia umeandika hivi, eti umeweka hayo maneno uliotudanganya eti ni ya kireno, kijerumani na kichina kwa makusudi ili tujue kwamba Kiswahili kimekopa maneno toka kiarabu, hahaha....

Vipi wewe umelewa?

Wewe ulikusudia kutudanganya eti hayo maneno ni ya Kichina, Kireno na Kijerumani (si ya Kiarabu), acha uongo na kuropokwa hovyo bro.
 
Enheeee.....! naomba niulize hapahapaaa, hivi ilikuaje kuaje mpka wakenya nao wakawa wanazungumza kiswahili? au wenyewe ndio wenye lugha? kama sio yao mbona wanajiadress kama yao? majibu tafadhar mana hua natatizwa sana.
 
Kiswahili kilianzia Zanzibar, Pemba na Miji mingine ya pwani ya hapa tz.

Wakenya pia (hasa pwani Mombasa, Diani, Kilifi, Malindi, Watamu na Lamu ) wanaongea Lugha ya Kiswahili tokea zamani, sehemu hizo za pwani Waislamu wengi wanaishi huko pia kuna warabu wengi sana area hizo (lakini sehemu zingine za Kenya hawakuanza zamani sana kuongea Kiswahili, ndio maana mpaka sasa hawajui vizuri kuongea Kiswahili cha ufasaha ( There are a total of 68 languages spoken in Kenya).
 
Kweli Kwenye lugha ya Kiswahili kuna maneno zaidi ya 60% yametoka kwenye lugha ya Kiarabu.

Kwa mfano majina ya namba karibia yote yametoka kwenye lugha ya kiarabu.

Pia,

Darasa, kalamu, kitabu, mwalimu, Taftari, karatasi, mijadala, kanuni, sheria, mahakama, hakimu, wizara, waziri, diwani, wilaya, naibu, raisi......... Yote haya ni kutoka kwa lugha ya kiarabu (naweza kuandika list ndefu ya maneno kama haya mpaka mtachoka kuyasoma).

Swahili language origin inspired by other languages especially Arabic. This is as a result of the historical interaction between the Arabs and the local Bantus.
hapa kaka naona unatka tuwaite wazee wa historiia ya lugha unaposema kiswahili ni ni lugha chotara nabisha ila ukiniambia kiswahili kimeathiriwa na kiarabu hapo ntakubaliana na wewe tena kwa asilimia mia moja maana waarabu walifika pwani za east afrika miaka 200 kabla ya uzao wa yesu hvyo kiswahil kiliazima maneno meng toka katika lugha ya kiaarb pia napingana na takwimu zako kua kiswahili kilichukua asilimia 60 ya mamneno toka ktika lugha ya kiarabu kwani takwim hiz zinabadilika kutokana muda na pia mwandishi wa hizo habar
 
Hapa tatizo kubwa ni moja,wengi elimu yao ni ya kucopy na kupest ,hawajapata busara za kutumia vichwa vyao.
Na wengi wanaongea kwa chuki na jazba
Hawana uwezo wa kufanya uchunguzi.
Natoa changamoto moja,
Wajitokeze watu wa kujitolea tulifanyie uchunguzi hii tusiwe kama MUNGU hajatubariki akili.
Stoke mmoja wa kuwakilisha maneno yenye asili
Ya Kiarabu na mwengine aorodheshe yenye asili ya kiingereza na mwengine aorodheshe yenye asili ya kireno na mw engine kijerumani na mwengine kipindi yatakayo baki tutayachuja tuweke kibantu pembeni tupige hesabu
Kama kweli ni watu wenye busara.
 
Mimi nichagulieni moja katika hizo isipokua kireno tu ndio sikijui.
 
Back
Top Bottom