Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

Kabisa mkuu ....zamani walikua na utaratibu wa jumapili moja ibada kufanyika kwa kiswahili ..jumapili inayofuata ilikua kichaga ,inayofuatia tena kiswahili...hivyo hivyo inazunguka.Ila sasa hivi hamna huo utaratibu kabisa.
Kwasasa mwingiliano ni mkubwa, kuna Father mmoja alikuwa akienda kwenye makanisa yakwao tarafani anatoa homilia kwa kilugha ila wasio ijua lugha walikuwa wakilalamika je kwasasa!
 
Ukristo ulienezwa kwa namna ya ushetani. Uuaji, ubakaji ulawiti nk.
Hadi leo kanisa Katoliki limegubikwa na kashfa kibao zisizo na idadi za ulawiti wa watoto wadogo wa kiume
Unalikosea sana kanisa hata kama haulipendi usilichafue hivyo, unajua history ya nchi za kaskazini zote zilikuwa za wakristo lakini uliondolewa vipi! Usiwe hivyo!
 
Eti Hatutaki kuwa kisiwa, na badala ya kukimbilia nchi kavu, tunakimbilia kilindini tena na kisado cha lita mbili!!!!
====
Russia wanasema familia lazima iheshimiwe. Mwanaume atabaki mwanaume, na mwanamke atabaki mwanamke huku baba akibaki ni baba na mama akibaki ni mama. Haya mapokeo ya kubadili matumizi ya baadhi ya viungo vya binadamu ili kuua utu na ubinadamu duniani hayakubaliki.

Sijui niongeze sauti!!! Yawezekana sisikiki!
 
Unalikosea sana kanisa hata kama haulipendi usilichafue hivyo, unajua history ya nchi za kaskazini zote zilikuwa za wakristo lakini uliondolewa vipi! Usiwe hivyo!
Kama mnavyopenda kuchafua imani na asili za watu basi na nyie mkubali kukosolewa na hizo imani zenu za mabeberu
 
Kama mnavyopenda kuchafua imani na asili za watu basi na nyie mkubali kukosolewa na hizo imani zenu za mabeberu
Kwahiyo ndiyo hasira zenu mnakuja kizitolea hapa, mbona huko mnakofundisha watoto kila siku ubakaji na urawiti kwa watoto toka kwa walimu wao sijui ndiyo maustaz vitumbua lakini nani kawajumuisha hapa? Ok nimekubali kukosolewa
 
Muulizeni huyo papa wenu na walawiti wenzenu
 
... twende njia ya wazanzibari; kwani wao ambao hawajui lugha nyingine zaidi ya Kiswahili (na Kiarabu) wamepungukiwa na nini na sisi tunaojua hadi Kisukuma cha ndani ndani huko tunawazidi nini? Ukiacha ubaguzi unaopandikizwa makusudi wa kichama, wazanzibari ni wamoja kuliko jamii nyingine zozote nchi hii.
 
Kwahiyo ndiyo hasira zenu mnakuja kizitolea hapa, mbona huko mnakofundisha watoto kila siku ubakaji na urawiti kwa watoto toka kwa walimu wao sijui ndiyo maustaz vitumbua lakini nani kawajumuisha hapa? Ok nimekubali kukosolewa
Sasa Uislam unaingiaje hapa? Kwani huyo ni Muislam? Kwanini baadhi yenu mkikabwa koo na ma "Atheists" na watu wa "dini za mababu" wa humu Jf huwa mnakimbilia kuwakashifu Waislam? Mmechanganyikiwa? Mnakuwa hamuwajui mnaojadiliana nao? Au Waislam ndio wanyonge wenu?
 
Ungeacha yule niliye quote aje kujibu mwenyewe maana hata mie nilipo quote wala hicho ukisemacho hakikuwepo ila ni kisempele sempele chako cha kuja kujibu anzia mwanzo huko!
 
Sisi lugha yetu ni kiswahili cha muhimu hizo lugha zitungiwe vitabu na zurekodiwe kwa matumizi ya vizazi vijavyo
 
Zanzibar kuna makabila
 
Watu wa Zanzibar ni wa asili mbalimbali, hasa watu wa asili ya Afrika Bantu, yakiwemo makabila ya Wahamidu na Watumbatu; halafu Waasia, awali kutoka India na nchi za Kiarabu
 
Dalili nzuri, utaifa umejengeka viinchi vidogo vya kikabila vinapotea.

Moja ya sifa ktk ujenzi wa taifa moja ni kuwa na lugha moja. Nchi kama Russia yenye time zones 11 wanaongea lugha kuu moja Russian.

Uwe ndani ya mipaka ya nchi hii kubwa ya Russia Mashariki karibu ya Japan au Magharibi karibu ya Finland nyote mnaongea na kupata huduma za kijamii zote mfano afya, elimu, biashara, utalii , kuendesha biashara n.k kwa lugha kuu moja ya Russian.
 
Ungeacha yule niliye quote aje kujibu mwenyewe maana hata mie nilipo quote wala hicho ukisemacho hakikuwepo ila ni kisempele sempele chako cha kuja kujibu anzia mwanzo huko!
Nimesoma Comments zote. Wewe unaukashifu Uislam wakati wote hawa unaojibizana nao sio Waislam. Ni watu wanaodai kutetea "dini" za Babu zao. Bujibuji sio Muislam wala huyo uliyemnukuu sio Muislam lakini nashangaa unaukashifu Uislam. Ndio nakuuliza umechanganyikiwa au hujui unaojadiliana nao? Kuna Muislam aliyekutukana? Kila anayekutukaneni nyinyi ni Muislam? Kuweni Wastaarabu.
 
Hujasoma niliko anzia kwanza mimi hata hiyo misikiti sijawahi kugusa hata mlango, sasa nalumbana nini, unajua niliyeanza kum quote ilikuwa katoriki na nikamjibu hivyo sasa hao waliokuja na uslamu siwaelewi kabisa, sikujui wala siwajui na huo muda wakujua ni dini gani nautoa wapi mimi jamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…