marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Nimekuja kijijini huku nakuta watoto wanacheza playstation
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokuipenda/ kuiamini imani fulani kusikupe uhalali wa kuichafua.
Je hayo ndiyo yanayofundishwa makanisani ama ni tamaa na kukengeuka kwa hao wanaoyafanya hayo?? Hakuna dini inakosa watu watendao matendo mabaya hasa wale wanaoonekana kua ni mfano wa kuigwa, lakini hayo si yafundishwayo ni tamaa na akili zao fyatu zinawatuma kufanya hayo.
Dhambi ya watu kadhaa usiibebeshe kwa jumuiya nzima.
Kwasasa mwingiliano ni mkubwa, kuna Father mmoja alikuwa akienda kwenye makanisa yakwao tarafani anatoa homilia kwa kilugha ila wasio ijua lugha walikuwa wakilalamika je kwasasa!Kabisa mkuu ....zamani walikua na utaratibu wa jumapili moja ibada kufanyika kwa kiswahili ..jumapili inayofuata ilikua kichaga ,inayofuatia tena kiswahili...hivyo hivyo inazunguka.Ila sasa hivi hamna huo utaratibu kabisa.
Unalikosea sana kanisa hata kama haulipendi usilichafue hivyo, unajua history ya nchi za kaskazini zote zilikuwa za wakristo lakini uliondolewa vipi! Usiwe hivyo!Ukristo ulienezwa kwa namna ya ushetani. Uuaji, ubakaji ulawiti nk.
Hadi leo kanisa Katoliki limegubikwa na kashfa kibao zisizo na idadi za ulawiti wa watoto wadogo wa kiume
Kama mnavyopenda kuchafua imani na asili za watu basi na nyie mkubali kukosolewa na hizo imani zenu za mabeberuUnalikosea sana kanisa hata kama haulipendi usilichafue hivyo, unajua history ya nchi za kaskazini zote zilikuwa za wakristo lakini uliondolewa vipi! Usiwe hivyo!
Kwahiyo ndiyo hasira zenu mnakuja kizitolea hapa, mbona huko mnakofundisha watoto kila siku ubakaji na urawiti kwa watoto toka kwa walimu wao sijui ndiyo maustaz vitumbua lakini nani kawajumuisha hapa? Ok nimekubali kukosolewaKama mnavyopenda kuchafua imani na asili za watu basi na nyie mkubali kukosolewa na hizo imani zenu za mabeberu
Muulizeni huyo papa wenu na walawiti wenzenuKwahiyo ndiyo hasira zenu mnakuja kizitolea hapa, mbona huko mnakofundisha watoto kila siku ubakaji na urawiti kwa watoto toka kwa walimu wao sijui ndiyo maustaz vitumbua lakini nani kawajumuisha hapa? Ok nimekubali kukosolewa
... twende njia ya wazanzibari; kwani wao ambao hawajui lugha nyingine zaidi ya Kiswahili (na Kiarabu) wamepungukiwa na nini na sisi tunaojua hadi Kisukuma cha ndani ndani huko tunawazidi nini? Ukiacha ubaguzi unaopandikizwa makusudi wa kichama, wazanzibari ni wamoja kuliko jamii nyingine zozote nchi hii.Niko kijijini kabisa huku ndanindani. Nimekuja kumzika bibi yangu aliye fariki akiwa na miaka 97 lakini akiwa bado mrembo na nguvu zake.
Kilichonuogopesha na kunishangaza, mimi wakati nakua, tulikiwa hatujui Kiswahili, tunabonga tu lugha yetu ya asili, huku tukisimuliana hadithi za Masala Kulangwa na Shing'weng'we, Kalukalanje, Ng'wanakapolo na simulizi nyingine nyingi.
Michezo yetu ilikuwa ya kiasili kabisa kutokana na mazingira yetu, mashindano ya nyimbo, kulima, kuendesha baiskeli na mitumbwi.
Shule tulivishwa bango shingoni kwa kushindwa kuongea Kiswahili. Na hata mtu asiyejua kuongea lugha ya Kibujibuji na kuongea Kiswahili pekee alioneka kama ametoka sayari ya Pluto huko.
Leo niko kijijini, watoto hawajui tena Kibujibuji, wanaongea Kiswahili, hata kanisani mahubiri sio ya kilugha tena. Hata lile bango lilioandokwa ungea Kiswahili tu tulilokuwa tukivishwa shingoni halijulikani hata lilikopotelea.
Kwa heshima na taadhima, naiomba wizara yenye dhamana ya kutunza tamaduni zetu iliangalie hili.
Sio lugha tu inayopotea inayopotea kwa kasi, ila pia vyakula vyetu, matambiko, aina ya malezi na kila kitu chetu kinapotea kwa kasi.
Tuendako tutakuja kuwa taifa lisilo na mila na tamaduni, kila kitu chetu kitapotea na tutatawaliwa kiutamaduni na mataifa makubwa
Sasa Uislam unaingiaje hapa? Kwani huyo ni Muislam? Kwanini baadhi yenu mkikabwa koo na ma "Atheists" na watu wa "dini za mababu" wa humu Jf huwa mnakimbilia kuwakashifu Waislam? Mmechanganyikiwa? Mnakuwa hamuwajui mnaojadiliana nao? Au Waislam ndio wanyonge wenu?Kwahiyo ndiyo hasira zenu mnakuja kizitolea hapa, mbona huko mnakofundisha watoto kila siku ubakaji na urawiti kwa watoto toka kwa walimu wao sijui ndiyo maustaz vitumbua lakini nani kawajumuisha hapa? Ok nimekubali kukosolewa
Nyie mmemuuliza huyo aliyeoa katoto ka miaka 12?Muulizeni huyo papa wenu na walawiti wenzenu
Ungeacha yule niliye quote aje kujibu mwenyewe maana hata mie nilipo quote wala hicho ukisemacho hakikuwepo ila ni kisempele sempele chako cha kuja kujibu anzia mwanzo huko!Sasa Uislam unaingiaje hapa? Kwani huyo ni Muislam? Kwanini baadhi yenu mkikabwa koo na ma "Atheists" na watu wa "dini za mababu" wa humu Jf huwa mnakimbilia kuwakashifu Waislam? Mmechanganyikiwa? Mnakuwa hamuwajui mnaojadiliana nao? Au Waislam ndio wanyonge wenu?
Kaoa hajalawiti tena huko ni mambo ya jinsia moja kabisa
Zanzibar kuna makabila... twende njia ya wazanzibari; kwani wao ambao hawajui lugha nyingine zaidi ya Kiswahili (na Kiarabu) wamepungukiwa na nini na sisi tunaojua hadi Kisukuma cha ndani ndani huko tunawazidi nini? Ukiacha ubaguzi unaopandikizwa makusudi wa kichama, wazanzibari ni wamoja kuliko jamii nyingine zozote nchi hii.
Watu wa Zanzibar ni wa asili mbalimbali, hasa watu wa asili ya Afrika Bantu, yakiwemo makabila ya Wahamidu na Watumbatu; halafu Waasia, awali kutoka India na nchi za Kiarabu... twende njia ya wazanzibari; kwani wao ambao hawajui lugha nyingine zaidi ya Kiswahili (na Kiarabu) wamepungukiwa na nini na sisi tunaojua hadi Kisukuma cha ndani ndani huko tunawazidi nini? Ukiacha ubaguzi unaopandikizwa makusudi wa kichama, wazanzibari ni wamoja kuliko jamii nyingine zozote nchi hii.
Nimesoma Comments zote. Wewe unaukashifu Uislam wakati wote hawa unaojibizana nao sio Waislam. Ni watu wanaodai kutetea "dini" za Babu zao. Bujibuji sio Muislam wala huyo uliyemnukuu sio Muislam lakini nashangaa unaukashifu Uislam. Ndio nakuuliza umechanganyikiwa au hujui unaojadiliana nao? Kuna Muislam aliyekutukana? Kila anayekutukaneni nyinyi ni Muislam? Kuweni Wastaarabu.Ungeacha yule niliye quote aje kujibu mwenyewe maana hata mie nilipo quote wala hicho ukisemacho hakikuwepo ila ni kisempele sempele chako cha kuja kujibu anzia mwanzo huko!
Hujasoma niliko anzia kwanza mimi hata hiyo misikiti sijawahi kugusa hata mlango, sasa nalumbana nini, unajua niliyeanza kum quote ilikuwa katoriki na nikamjibu hivyo sasa hao waliokuja na uslamu siwaelewi kabisa, sikujui wala siwajui na huo muda wakujua ni dini gani nautoa wapi mimi jamani?Nimesoma Comments zote. Wewe unaukashifu Uislam wakati wote hawa unaojibizana nao sio Waislam. Ni watu wanaodai kutetea "dini" za Babu zao. Bujibuji sio Muislam wala huyo uliyemnukuu sio Muislam lakini nashangaa unaukashifu Uislam. Ndio nakuuliza umechanganyikiwa au hujui unaojadiliana nao? Kuna Muislam aliyekutukana? Kila anayekutukaneni nyinyi ni Muislam? Kuweni Wastaarabu.